
david kutoka uganda ndiye mshindi wa shindano la faidika na bbc akiwa na kivuli cha hundi ya dola elfu 2, laptop na cheti cha ushiriki. jumla ya vijana wajasiriamali watarajiwa 4 waliingia fainali baada ya kuwashinda washindani wengine 5,000 toka sehemu mbalimbali afrika mashariki na kati ambapo bongo iliingiza washindi 2 na kenya mmoja. shindano lilihusu kushindanisha propoza za miradi ambapo david alibuni mradi wa kutengeneza mishumaa ili kusaidia taifa lake kupambana na makali ya matatizo ya umeme pamoja na kutoa ajira kwa vijana wenzie
hicho kiwanda au biashara ya kutengeneza mishumaa itafunguliwa? yeye itakua ni mradi wake?
ReplyDelete