mdau joni (suti kali kuliko wote) alieko zenj karejea majuzi toka nairobi alikohudhuria warsha ya maendeleo ya vijana iliyodhaminiwa na mfuko wa maendeleo wa aga khan akiwa katika pozi na washiriki wenza wa warsha hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2007

    BI CHABS NAONA UMEIVA HASWA SIKU HIZI. KEEP IT UP

    ReplyDelete
  2. hahahahaaa suti kali kuliko wote,imebidi nitafute ni yupi kwani bado sijamuona, wote wamevaa suti kali bwana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...