
joan akanash, yule mdau pekee wa kike anayefanya mazingaombwe aliyosomea kwa miaka kibao huko china, naye alikuwa kwenye tua pamoja na in afrika band na hapa anapokewa kwa furaha usiku huu na mai mama wake...

kikosi cha in afrika band kikighani kwa furaha baada ya kutua salama usiku huu dar kikitokea ughaibuni kwenye tua ya miezi saba. vijana hawa machachari ambao wamesubiriwa kwa hamu na washabiki wao wanasema wamekuja upya baada ya kujifunza mambo kibao huko walikokuwa. hivyo na tukae mkao wa kula...
Jamaa wakali sana hawa.
ReplyDeleteTunawasubiri kule "Sweet Easy" Ostabei. Wanaanza kupiga tena lini?
Ras Pompy mbona simuoni hapo?
Huyu mwanamme aliyevaa kofia ni mzuri sana jamani....Mhmm...
ReplyDelete