kuna mdau kanitumia hii sasa hivi....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Yaani kwa ufupi ni kwamba jamaa wamegonga BARE (tamka Kiswahili)....hahahahaha!

    Pombe (nauona ubotlo hapo pembeni) zitatuua maana zinaondoa umakini ktk "tu-tukio".

    UKIMWI unaua,tubadilike.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2007

    Hawa watu wanaonekana KUJUTIA kitendo chao cha kufanya tendo la ngono bila kutumia kondomu ambayo bado iko nzima hapo chini.
    Kusahau uko kumetokana na kutojitambua baada ya kuwa wamelewa sana hizo bia hapo pembeni.
    Lakini kama waliweza kujua kuwa kitanda kinapiga kelele, hivyo wakakumbuka kushusha godoro chini, kumbe walikuwa bado na ufahamu, walishindwaje kukumbuka kondomu?
    Haya ni makusudi mazima na uzembe tu.
    Jamani tuwe makini. Tutaangamia! Ohoo!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2007

    Hebu pata picha huyo jamaa (mwanaume) ni wewe..
    halafu huyo Mdada ni baamedi ambae uliamua kubeba ili kupunguza mshindo wa mwili...

    sasa ndio unaamka asubuhi unagundua kuwa ulikandamiza kavu kavu..

    Ni soooo..........

    lakini utamu wa mambo ni kwamba muda ukipita kidogo tu utasahau tension uliokuwa nayo na kuanza kutamani vicheche vingine.

    hili gonjwa litatumaliza wajameni.
    sijui kwa nini mungu aliliweka ktk tendo nyeti kama hilo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2007

    hiyo picture haifundishi kitu, hiyo condom wala haisadii kuzuia maambukizi, it is all nonsense
    aisha habib

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2007

    Mitungii..mikasiii..wewee jamaa hang over imekata..mama yangu mhh kumbe nimeua bila zana yalaa nafaa haki ya shetani.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2007

    Tatizo la wabongo tunapenda kavu, nyama kwa nyama. Hiyo pombe ni kisingizio tu!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 04, 2007

    Kama jamaa anajutia basi anajali, na kuna uwezekano next time akawa makini zaidi, kuliko yule anayejisifu yees kapiga "Stereo" kavu kavu.

    Ila suala la "stereo" sio wabongo tu ni binadamu wote wanalipenda, hebu fikiria mtu ana practice "Fellatio" au " Cunnilingus" halafu avae Condom si kazi bure hapo na hii ipo zaidi huku wanapojiita first world na wabongo tumeshaichukua sasa yaani "Cunnilingus na Fellatio" ni part and parcel ya ngono sasa inabidi tutegeneze na Condom za "midomoni" basi.

    Ila ndugu zangu njia pekee ni kuoa au kuolewa na kuwa mwaminifu kwa mkeo au mumeo, hiyo ndio njia pekee ya kupunguza maambukizi hii taste and taste and taste itatumaliza hakyanani.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 04, 2007

    perez kwa visingizio?! kumbe wewe huwa unawakandamiza sakafuni eti kwa sababu kitanda kinapiga kelele! ngoja na mie ntajaribu hiyo mbinu nione kama ntaweza kufikisha vinne kwa saa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 04, 2007

    hii picha inafundisha mi hii ilishanitokea hivyo hivyo

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 05, 2007

    we anon wa july 4th 4:51:00 baada ya hapo ulicheki HIV?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...