Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ama kweli ukiyashangaa ya Musa utayaona ya Firauni! Huyu "handsome boy" kalikung'uta lile libaba la ki-Kenya? Anastahili sifa ndugu yetu maana yule jaluo alinitisha sana hata mimi!

    Bravo Tamim!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2007

    hongera kaka una mwili mzuri sana wa heavy weight ,i think with more practise you can do it,body stracture inaonesha uko bomba jitahidi kitambi kisitokee tu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2007

    Michuzi tunakuheshimu sana kwa mchango wako lakini hii ni noma sababu unafanya mambo ya plagialism hii ni picha ya gazeti la mwananchi na unaificha kwa makusudi. hebu achia headline ionekane hapo juu kama unavyofanya kwa habari leo, Daily News na wengineo.

    Nimeshaona katika matukio kama manne hivi gazeti la Mwananchi unalifichia Master Head pachika bwana ili tuone.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2007

    Mkenya ana miaka 43, Tamim ana 27. Wasn't it a mismatch? Yes it was.
    Siijui rekodi ya mapambano ya Tamim lakini kwa kukitwanga hiki kibabu cha kikenya tuu, no credits from me.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...