SIMBA SC WAMETWAA UPINGWA WA BARA KWA KUIFUNGA YANGA JUMLA YA MABAO 5-4 AMBAPO DAKIKA 90 ZILIISHA 1-1 NA KATIKA KIPINDI CHA NYONGEZA IKAWA 0-0 NA IKABIDI ZIPIGWE PENATI.

KWA UHSINDI HUO SIMBA ITATUWAKILISHA KWENYE LIGI YA VILABU BINGWA AFRIKA WAKATI YANGA AMBAYO ILIKUWA MABINGWA KWA MIAKA 2 MFULULIZO WATATUWAKILISHA KATIKA KOMBE LA CAF

KUNRADHI WADAU MTANDAO ULIFANYA KISIRANI KIDOGO NDO MAANA NIKACHELEWA KULETA ZA MUDA HUO HUO KAMA KAWAIDA YETU.....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2007

    Naona uteja baado haujafutika itabidi tutafute muafaka mwingine huu wa sasa hautoshi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2007

    Michu.wewe ni hatari sana mtu wangu. yaani unatuletea nyepesi kwa wakati.hongera na uendelee na wembe huohuo. kwa wana YANGA wenzangu, huo ndio mpira jamani tushukuru kuwa tutaenda kwenye CAF lakini pia tuangalie suala la pale kwenye safu ya ushambuliaji, tatizo twalijua lakini.......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...