SIMBA SC WAMETWAA UPINGWA WA BARA KWA KUIFUNGA YANGA JUMLA YA MABAO 5-4 AMBAPO DAKIKA 90 ZILIISHA 1-1 NA KATIKA KIPINDI CHA NYONGEZA IKAWA 0-0 NA IKABIDI ZIPIGWE PENATI.
KWA UHSINDI HUO SIMBA ITATUWAKILISHA KWENYE LIGI YA VILABU BINGWA AFRIKA WAKATI YANGA AMBAYO ILIKUWA MABINGWA KWA MIAKA 2 MFULULIZO WATATUWAKILISHA KATIKA KOMBE LA CAF
KUNRADHI WADAU MTANDAO ULIFANYA KISIRANI KIDOGO NDO MAANA NIKACHELEWA KULETA ZA MUDA HUO HUO KAMA KAWAIDA YETU.....

Naona uteja baado haujafutika itabidi tutafute muafaka mwingine huu wa sasa hautoshi.
ReplyDeleteMichu.wewe ni hatari sana mtu wangu. yaani unatuletea nyepesi kwa wakati.hongera na uendelee na wembe huohuo. kwa wana YANGA wenzangu, huo ndio mpira jamani tushukuru kuwa tutaenda kwenye CAF lakini pia tuangalie suala la pale kwenye safu ya ushambuliaji, tatizo twalijua lakini.......
ReplyDelete