Hii ndo Four Wheel Drive ya vijijini ambayo hutumika kusafirishia nafaka kutoka vijijini kuingia 'mjini' kwa kutumia ng'ombe 4 kuvuta 'tela'. Hii ilifumwa Bukene, mkoani Tabora na mdau aliyekuwa huko hivi karibuni. Wazee wa 'mamtoni' mnaipata hii?

(mdau: abdallahmrisho.blogspot.com)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2007

    Sasa kaka michu nyama za hao 4WD sijui itahitaji kusagwa kwanza maana unaweza kuacha jino kama una uchu na nyama kama wagogo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2007

    Kaka michuzi, hii ni 8 wheel drive, if we can diskava new caarz!
    anon@ 5:04pm, nyama ya hawa ngo'mbe itabidi ichemshwe kama yachemshayvo maharage!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...