baada ya kuhama zanzibar stars na baadaye east african melody bibie hadija mzee kaamua kutulia na kaka yake nzee yusuf kwenye kundi lao la taarabu la jahazi ambalo linazidi kujizolea umaarufu. mzee yusuf mwaka huu kanyakua tuzo ya tungo bora na wimbo bora na anasifika kwa kuimba, kutunga na kupiga ala zote pamoja na kuandaa muzika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2007

    hadija umebarikiwa kifua hicho mama..

    daah...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2007

    Huyu Mzee Yusufu kwa kuoa jamani hawezekaniki yaani ameoa na kuacha mara nyingi sana.

    Hiyo bendi imeshamrudishia pesa yake maana alikopa akaweka dhamana nyumba yake.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2007

    Annoy hapo juu ndoa ya huyu jamaa hazikai labda kwa vile nasikia ni mtaalamu wa tigo yani celtel na voda hapendelei kabisa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2007

    wewe anony... wa july 10,2007 10:15:00 AM \EAT unaeongelea tigo, voda na celtel hebu fafafua wengine tuko huku mbali hatuelewi maana yake, tunajuwa hizo ni kampuni za simu sasa nini tena?????:)

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 10, 2007

    michu watu wa pwani kweli mdebwedooooooooooo!! hahahahha wewe mwanaume mzima usipange kufanya kazi za maana unataka kwenda imba taarabu???? hahahahah mdebwedooooooo!
    najua nitazua mengi,waosha vinywa karibuni..ila angalieni hapo juu mseme kama sio mdebwedo??naomba kuwakilisha....wani!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 11, 2007

    Anonymous july 10, 1:35 Kwani mtu akiimba taarabu anavaa Sidiria? au kunatofauti gani mtu anaimba taarabu na anaimba bongo fleva, au sauti anayotoa bushoke na yusuph Mzee tofauti hapo ni midundo tu hakuna la zaidi, una dharau taarabu na kuiona ni mziki wa kike kwa vile washabiki wengi wa taarabu ni wanawake lakin kumbuka kwa sasa taarabu ni kwa woote kazi ni kazi tu, binadamu hamna wema nyie, usidharau kazi ya mwenzio sababu hiyo yako haimsaidii chochote, bora anapata rizki yake ya halali haui wala hauzi madawa ya kulevya wala kuuza gongo.

    Yusuph kaza buti mwanangu tunakufagili kichizi, usisikilize majungu ya waopenda maendeleo ya watu wacha waseme midomo ni yao hawalipii kodi ndo mana wanaropokwa.

    Na wewe unayemsifia khadija kuwa anakifua kama unamkejeli ni wewe na mungu hujafa hujaumbika.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 11, 2007

    Kwa wale msiojua Tigo ni 'Kisamvu cha kopo' au 'Back', kama hujaelewa tu utajiju babu...!!!

    ReplyDelete
  8. I heard some nice soothing Swahili Taarab music https://bit.ly/2wwhGg6 . If you are planning to travel to one of the East African beaches, They have nice music called the taarab that is allitle bit like arabic but with some nice tune. https://bit.ly/2KR8NRw.Enjoy

    ReplyDelete
  9. I heard some nice soothing Swahili Taarab music https://bit.ly/2wwhGg6 . If you are planning to travel to one of the East African beaches, They have nice music called the taarab that is allitle bit like arabic but with some nice tune. https://bit.ly/2KR8NRw.Enjoy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...