mosi ali akiwa na wanamichezo wa timu ya taifa ya olimpiki mwaka 1980 huko moscow. toka shoto ni abdallah sykes, tony kasambala na gerald isaack ambaye baadaye alikuja kuwa bondia wa kibongo wa kwanza kucheza profeshno ughaibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    Naomba utuwekee picha ya Safi Ramadhan pia. Alitisha sana ktk sanaa za sarakasi na hata akawapiku wanaume hadi Msondo/Gurumo wakamuimba.

    Nitafurahi nikimuona dada yangu tena hapa ingawa siku hizi yupo zake USA na alishaachana na mambo hayo zamani.Lakini ujuzi wake alioupata China tangu akiwa kitoto kidogo uliwavutia wengi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2007

    wa kwanza kushoto ni abraham sykes sio Abdallah.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2007

    mimi siwakumbuki hawa na mkumbuka mdada alikua anaitwa lilia nyiti sijui alikua anafanya riadha au anatupa mikuki ila nilicheza chipukizi sijui 4th grade ilikua tukienda uwanja wa arusha kufanya mazoezi ya chipukizi kama yupo uwanjani na matainer wake inabidi watoto wote zaidi ya mia nne tuwasubiri wamalize. I was like damn when I grow up I want to be like her.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...