Home
Unlabelled
tua ya ray c
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi,
ReplyDeleteits 11.04 EAT,,thursday.
Salim Salim.
Vey interesting clock .. I think people will like to see
ReplyDeletehttp://www.poodwaddle.com/worldclock.swf
DU,kaaaazi kwelikweli.Ray C namjua tangu akija Moro enzi hizo akiwa na bwn mapama.Kimsingi alikuwa anakata viuno barabara.Sasa sijui ukataji viuno huo ni jukwaani tu au hata kitandani.USA tunakusubiri kwa hamu.Tumemiss mecho yako ya kuita watu.Du dada huyu nikimpata naonga kila kitu.Bora nikawe ombaomba Tanzania.Hapana uongo kwa chatu dhambi.
ReplyDeleteKaka Michuzi huyo anaitwa Shakira wa bongo a.k.a kiuno bila mfupa. Kaka Michuzi unaonaje ukawaa manager wake?.
ReplyDeleteRAY C KIMWANA MACHO YAKO GHALI NADRA SANA KUPATA BURUDANI KAMA WEWE, USIKOSE USA NIMEOMBA VAKESHENI RASMI NA BADO NIKO GIM NAJIFUA..ASA LALA
ReplyDeleteYouTube cites a copyright claim by Sony BMG as the reason for taking a clip down of Beyonce falling on stage shortly after 2:30 Wednesday afternoon.
ReplyDeleteWednesday morning, the hot buzz on the internet was that of superstar Beyonce Knowles taking a dive down a flight of stairs during a concert performance in Florida. I received a few emails from friends suggesting that I check it out on YouTube, which I did. Honestly, it was funny but Miss Knowles kept on going like the Energizer Bunny. It showed Beyonce's professionalism as an entertainer. During one of her high energy filled songs, her dance routine takes place along a flight of stairs. As she begins to walk down the steps, she tumbles head first to the bottom. Being the trooper that she is, she got up and continued on with the song and dance. She never missed beat, no screams of "ouch", not a limp or anything.
I am sure Beyonce was in pain and felt embarrassed, but she did not show it during the show. The star gives 110% of her while she is performing on stage, and this little slip does not take away from her talent.
Many try to find fault with the 25 year old singer, but the young lady has managed to lead a drama free life and career. I guess its safe to say her life is rather "boring" compared to the lives many stars in her age group lead. Beyonce Knowles is the type of entertainer who will still be in demand 20 years from now.
mtoto mashallah lakini tatizo nasikia anapiga msuba.
ReplyDeleteGuys if you dont mind what does the meaning of MSUBA cant find from swahili dictionally,Iam still leaning swahili kadogo Iam a tanzanian by half. my father is originally from Tanzania and my mum she is Irish.
ReplyDeletekaka michuzi hebu iangalie vizuri hii saa yako. Ama ni urithi wa bibi(nyanya) yako? maana wandengereko mupo nyuma sio kama sie wasomi wa kimakonde. By Saidi Nyani
ReplyDeleteDear Rehema Chalamila a.k.a ray C Murembo.Dear Nakupenda sana! mamaa anguu sijui nifanyaje ili uwe ndani ya milki ya moyo wangu tulifuu nimekudondokea kweli sio sirii, Rehema nakupensaan niko chini yamatendegu yakoo naomba musamahaaa kama itakuwa nimekoseaa sema unatka nini?..mago'mbe mambusi ntanunuaaa no probilemu ni kingeresa nimetumiaa i love you soo much chukua busu ya kitofu ati mwaaaaaaaaaaaaa!
ReplyDeleteMICHUZI TAFADHALI TUSAIDIE KUFIKISHA UJUMBE.MWAMBIE RAY C AGOME KUPIGA CONCERT HAPA OSLO NORWAY MPAKA WAANDAAJI WATAKAPOTAFUTA UKUMBI AU MAHALI PAZURI NA PENYE HADHI YA KUFANYIA CONCERT SIO KWASABABU TUNAPENDA STAREHE NA TUNAMISS MABO MAZURI KUTOKA NYUMBANI NDIO WAANDAAJI WA HIYO TOUR WATULETEE UKUMBI MBAYA AMBAO HATA PALE CHAGA BITE AFADHALI. KWAKWELI TUMEKUWA TUKILILALAMIKIA HILI SWALA YAANI UKUMBI NI KIBAR FLANI AMBACHO KIKO KWENYE BASEMENT. HEWA HAKUNA.NI KUKANYAGANA KWA KWENDA MBELE YAANI NI KICHUMBA AMBACHO HATA WATU 30 NI WENGI MNO. HICHO KIBAR KIMEZUNGUKWA NA ENEO AMBALO DADA ZETU WA KIAFRIKA HASA KUTOKA WEST AFRIKA NA EAST EUROPE HUSIMAMA BARABARANI KAMA VILE OHIO DAR KUUZA MWILI. NI AIBU HATA KWENDA NA MKE AU GIRLFRIEND WAKO SABABU KUNA MIJIZEE YA KIZUNGU HUMO KWENYE BAR INATAFUTA WANAWAKE. HIYO BAR NI KAMA GODOWN LA KUTAFUTA NA KUNUNUA K... HALAFU HATA TAA NZURI HAKUNA UKIANGALIA PICHA ZILIZOPO KWENYE BLOG YA WATANZANIA OSLO YAANI PICHA HAZIPENDEZI KABISA UTADHANI SIJUI NINI. IM JUST SHORT OF WORDS TO DESCRIBE THE PLACE YAANI NI PABOVU HASA.PLEASE WE LOVE RAY C PLEASE HELP MICHUZI!
ReplyDeleteWewe unayejifanya Irish kajifunze kingereza kwanza kabla hujaongea kiswahili.
ReplyDeleteWabongo bwana...uzuri uko ndani ya mtu sio nje jamani na kila ving'aaavyo sio dhahamu...muulizeni Eric Benet (Halley Berry'ex hubby) and bi kidude
ReplyDeleteHaya sasa naona annon hapo juu prince lee umeshadata!! Wabongo bwana! tehetehe tehe
ReplyDeletekwako mu irish,hongera sana kwa kujitahidi kujifunza lugha ya kiswahi maana kiswahi ndio lugha ya taifa ya dunia,si unajua binadamu wa kwanza alizaliwa olduvai gorge bongoland. by the way kupiga msuba ni kuvuta nin hii.
ReplyDeleteAnyway Ray C ni demu mkali na anajua kupigana miti,cha msingi you guyz out there mifuko yenu iwe safi coz mtoto anapenda kujirusha balaa...kuhusu msuba kweli anajidunga ila anajiheshimu kwa mbali...mbona hata masure wengi wanakula mmea na watu hawaongei??kamua mwana Chalamila usitumie vooodooo...ila hapa nakutamani!!!!
ReplyDeleteMtoo mkali anastahili kukunjwa staili za kisela...anapenda kupigwa nao huyo inabidi watu wachange hela za kuchunwa...pamoja wakuu!!
ReplyDeleteunastahili pongezi kututoa kimasomaso. Onyesha tabia nzuri usafishe njia ya wakatamiwa wengine
ReplyDeleteje anaenda na mwisho mwampamba nahisi ndiye aliyemchongea laini
ReplyDeleteJamani michuzi vipi kaka unaumwa au vipi maana its not like you not to update your wesite for this long. kama unaumwa pole, na kama hauumwi naomba utubadilishie hizi picha maana zinaboa kinoma.!!! if you know what i mean.!
ReplyDeleteMsuba ni Bangi... Mu Irish angalia sasa kwenye kamusi.. au Kamusi pia Hujuwi?
ReplyDeleteNYIE MAPROMOTA WA RAY C WA UK VIPI MPANGO WENU, HOW COME RAY C AJE UK HALAFU ASIFANYE SHOW MILTON KEYNES?MSILETE HAYO FANYENI MTAKAVYOFANYA MUMLETE MTOTO RAY C MILTON KEYNES HAPA NDIO CHIMBUKO LA WABONGO.KUNA WAKENYA PIA WANAMMIND RAY C KINOMA NA WAMEJAA HAPA.TULETEENI MREMBO HUYO TULE RAHA HAMJUI WABONGO WA MILTON KEYNES NDIO WANAONGOZA KWA HELA HAPA UK HAMJASHTUKA TUU...
ReplyDeleteumetoka chicha but ongeza bidii na utulivu mana kwa nanilii unajitahidi
ReplyDeletehuyo promoter wa ray c, George kusila ni fala tu, hajui kazi ya upromoter. Anatakiwa atafute kumbi zenye akili hapa Uk, speshali milton keynes, sio unaleta kuganga njaa.
ReplyDeleteBi Mkubwa
WASAPOTINI WASANII WANAPO KUJA ULAYA KUTUMBUIZA NDIO TUTAJENGA UMOJA NA USHIRIKIANA.HATA KAMA HUMPENDI RAY C BASI IFADHI MOYONI KWANI HAYA YE PIA LABDA HAKUPENDI NA WALA HAMJUANI.WABONGO TUPENDANE AIBU HII.
ReplyDeletemsuba = stiki = ganja = weed = marijuana...
ReplyDeleteIts colloquial ie slang.