kama nilivyoahidi punde ratiba ya ray c ni kama inavyoonesha kwa tua ya ukerewe, kabla hajavuka bahari na kuelekea marekani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2007

    michuzi,

    its 11.04 EAT,,thursday.

    Salim Salim.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2007

    Vey interesting clock .. I think people will like to see
    http://www.poodwaddle.com/worldclock.swf

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2007

    DU,kaaaazi kwelikweli.Ray C namjua tangu akija Moro enzi hizo akiwa na bwn mapama.Kimsingi alikuwa anakata viuno barabara.Sasa sijui ukataji viuno huo ni jukwaani tu au hata kitandani.USA tunakusubiri kwa hamu.Tumemiss mecho yako ya kuita watu.Du dada huyu nikimpata naonga kila kitu.Bora nikawe ombaomba Tanzania.Hapana uongo kwa chatu dhambi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 27, 2007

    Kaka Michuzi huyo anaitwa Shakira wa bongo a.k.a kiuno bila mfupa. Kaka Michuzi unaonaje ukawaa manager wake?.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 27, 2007

    RAY C KIMWANA MACHO YAKO GHALI NADRA SANA KUPATA BURUDANI KAMA WEWE, USIKOSE USA NIMEOMBA VAKESHENI RASMI NA BADO NIKO GIM NAJIFUA..ASA LALA

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 27, 2007

    YouTube cites a copyright claim by Sony BMG as the reason for taking a clip down of Beyonce falling on stage shortly after 2:30 Wednesday afternoon.

    Wednesday morning, the hot buzz on the internet was that of superstar Beyonce Knowles taking a dive down a flight of stairs during a concert performance in Florida. I received a few emails from friends suggesting that I check it out on YouTube, which I did. Honestly, it was funny but Miss Knowles kept on going like the Energizer Bunny. It showed Beyonce's professionalism as an entertainer. During one of her high energy filled songs, her dance routine takes place along a flight of stairs. As she begins to walk down the steps, she tumbles head first to the bottom. Being the trooper that she is, she got up and continued on with the song and dance. She never missed beat, no screams of "ouch", not a limp or anything.

    I am sure Beyonce was in pain and felt embarrassed, but she did not show it during the show. The star gives 110% of her while she is performing on stage, and this little slip does not take away from her talent.

    Many try to find fault with the 25 year old singer, but the young lady has managed to lead a drama free life and career. I guess its safe to say her life is rather "boring" compared to the lives many stars in her age group lead. Beyonce Knowles is the type of entertainer who will still be in demand 20 years from now.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 27, 2007

    mtoto mashallah lakini tatizo nasikia anapiga msuba.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 27, 2007

    Guys if you dont mind what does the meaning of MSUBA cant find from swahili dictionally,Iam still leaning swahili kadogo Iam a tanzanian by half. my father is originally from Tanzania and my mum she is Irish.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 27, 2007

    kaka michuzi hebu iangalie vizuri hii saa yako. Ama ni urithi wa bibi(nyanya) yako? maana wandengereko mupo nyuma sio kama sie wasomi wa kimakonde. By Saidi Nyani

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 27, 2007

    Dear Rehema Chalamila a.k.a ray C Murembo.Dear Nakupenda sana! mamaa anguu sijui nifanyaje ili uwe ndani ya milki ya moyo wangu tulifuu nimekudondokea kweli sio sirii, Rehema nakupensaan niko chini yamatendegu yakoo naomba musamahaaa kama itakuwa nimekoseaa sema unatka nini?..mago'mbe mambusi ntanunuaaa no probilemu ni kingeresa nimetumiaa i love you soo much chukua busu ya kitofu ati mwaaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 27, 2007

    MICHUZI TAFADHALI TUSAIDIE KUFIKISHA UJUMBE.MWAMBIE RAY C AGOME KUPIGA CONCERT HAPA OSLO NORWAY MPAKA WAANDAAJI WATAKAPOTAFUTA UKUMBI AU MAHALI PAZURI NA PENYE HADHI YA KUFANYIA CONCERT SIO KWASABABU TUNAPENDA STAREHE NA TUNAMISS MABO MAZURI KUTOKA NYUMBANI NDIO WAANDAAJI WA HIYO TOUR WATULETEE UKUMBI MBAYA AMBAO HATA PALE CHAGA BITE AFADHALI. KWAKWELI TUMEKUWA TUKILILALAMIKIA HILI SWALA YAANI UKUMBI NI KIBAR FLANI AMBACHO KIKO KWENYE BASEMENT. HEWA HAKUNA.NI KUKANYAGANA KWA KWENDA MBELE YAANI NI KICHUMBA AMBACHO HATA WATU 30 NI WENGI MNO. HICHO KIBAR KIMEZUNGUKWA NA ENEO AMBALO DADA ZETU WA KIAFRIKA HASA KUTOKA WEST AFRIKA NA EAST EUROPE HUSIMAMA BARABARANI KAMA VILE OHIO DAR KUUZA MWILI. NI AIBU HATA KWENDA NA MKE AU GIRLFRIEND WAKO SABABU KUNA MIJIZEE YA KIZUNGU HUMO KWENYE BAR INATAFUTA WANAWAKE. HIYO BAR NI KAMA GODOWN LA KUTAFUTA NA KUNUNUA K... HALAFU HATA TAA NZURI HAKUNA UKIANGALIA PICHA ZILIZOPO KWENYE BLOG YA WATANZANIA OSLO YAANI PICHA HAZIPENDEZI KABISA UTADHANI SIJUI NINI. IM JUST SHORT OF WORDS TO DESCRIBE THE PLACE YAANI NI PABOVU HASA.PLEASE WE LOVE RAY C PLEASE HELP MICHUZI!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 27, 2007

    Wewe unayejifanya Irish kajifunze kingereza kwanza kabla hujaongea kiswahili.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 27, 2007

    Wabongo bwana...uzuri uko ndani ya mtu sio nje jamani na kila ving'aaavyo sio dhahamu...muulizeni Eric Benet (Halley Berry'ex hubby) and bi kidude

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 27, 2007

    Haya sasa naona annon hapo juu prince lee umeshadata!! Wabongo bwana! tehetehe tehe

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 28, 2007

    kwako mu irish,hongera sana kwa kujitahidi kujifunza lugha ya kiswahi maana kiswahi ndio lugha ya taifa ya dunia,si unajua binadamu wa kwanza alizaliwa olduvai gorge bongoland. by the way kupiga msuba ni kuvuta nin hii.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 29, 2007

    Anyway Ray C ni demu mkali na anajua kupigana miti,cha msingi you guyz out there mifuko yenu iwe safi coz mtoto anapenda kujirusha balaa...kuhusu msuba kweli anajidunga ila anajiheshimu kwa mbali...mbona hata masure wengi wanakula mmea na watu hawaongei??kamua mwana Chalamila usitumie vooodooo...ila hapa nakutamani!!!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 29, 2007

    Mtoo mkali anastahili kukunjwa staili za kisela...anapenda kupigwa nao huyo inabidi watu wachange hela za kuchunwa...pamoja wakuu!!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 30, 2007

    unastahili pongezi kututoa kimasomaso. Onyesha tabia nzuri usafishe njia ya wakatamiwa wengine

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 30, 2007

    je anaenda na mwisho mwampamba nahisi ndiye aliyemchongea laini

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 30, 2007

    Jamani michuzi vipi kaka unaumwa au vipi maana its not like you not to update your wesite for this long. kama unaumwa pole, na kama hauumwi naomba utubadilishie hizi picha maana zinaboa kinoma.!!! if you know what i mean.!

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 30, 2007

    Msuba ni Bangi... Mu Irish angalia sasa kwenye kamusi.. au Kamusi pia Hujuwi?

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 31, 2007

    NYIE MAPROMOTA WA RAY C WA UK VIPI MPANGO WENU, HOW COME RAY C AJE UK HALAFU ASIFANYE SHOW MILTON KEYNES?MSILETE HAYO FANYENI MTAKAVYOFANYA MUMLETE MTOTO RAY C MILTON KEYNES HAPA NDIO CHIMBUKO LA WABONGO.KUNA WAKENYA PIA WANAMMIND RAY C KINOMA NA WAMEJAA HAPA.TULETEENI MREMBO HUYO TULE RAHA HAMJUI WABONGO WA MILTON KEYNES NDIO WANAONGOZA KWA HELA HAPA UK HAMJASHTUKA TUU...

    ReplyDelete
  23. umetoka chicha but ongeza bidii na utulivu mana kwa nanilii unajitahidi

    ReplyDelete
  24. huyo promoter wa ray c, George kusila ni fala tu, hajui kazi ya upromoter. Anatakiwa atafute kumbi zenye akili hapa Uk, speshali milton keynes, sio unaleta kuganga njaa.


    Bi Mkubwa

    ReplyDelete
  25. WASAPOTINI WASANII WANAPO KUJA ULAYA KUTUMBUIZA NDIO TUTAJENGA UMOJA NA USHIRIKIANA.HATA KAMA HUMPENDI RAY C BASI IFADHI MOYONI KWANI HAYA YE PIA LABDA HAKUPENDI NA WALA HAMJUANI.WABONGO TUPENDANE AIBU HII.

    ReplyDelete
  26. msuba = stiki = ganja = weed = marijuana...
    Its colloquial ie slang.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...