bandari ya salama imekuwa ya kijana mno siku hizi hadi inatia raha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. heheee umechapia hapo bwana michu - " imekuwa ya kijana" , siyo ya wazee?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2007

    WATU WAMEACHA KUNYA NA KULALA OVYO MITAANI HADI USEME UNSIKIA RAHA?
    VIPI WAUZA SAMAKI NA KINA MAMA NTILIE HAWAPO TENA KILA KWENYE SEHEMU ZA WAENDAO KWA MIGUU.
    NA HAYO MAGARI YASIYO NA MOT YANAYOSAMBAZA MOSHI MZITO NA MIFEREJI ISIYOZIBULIWA VIMEONDOKEA WAPI? USIDANGANYE WATU KWA PICHA KWA VILE PICHA HAIBEBI HARUFU. NCHI INANUKA KILA MAAVI KUANZIA IKULU HADI VICHOCHORONI. WALEVI WA MNAZI KILAA KONA NA KILA WAKIJISIKIA HAJA NDOGO AU KUBWA, WAO NI POPOTE PALE. THEN UNADAI KIJANI, KIJANI. HUJAONA KIJANI WEEE MICHUZI. WENZIO WANALINDA KIJANI ZAO NA HAPAJENGWI KITU, PIGA, UA, GALAGAZA LAKINI INABAKI VILEVILE...KIJANI (GREEN AREA). MUULIZE GORDON BROWN AU TONY BLAIR WANAVYOZIMEZEA MATE GREEN ZA UK WAAANGUSHE MAJUMBA YAO ILI WAUZE...KALAGHABAHO.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2007

    NI KWELI MICHUZI INAPENDEZA KWA NJE ILA NDANI UOZO MTUPU!!PETROL INAONGEZWA BEI VIONGOZI HAWATUSAIDII KULALAMIKA WANAJIJARI WAO WENYEWE KISA WAO WANAWEKEWA MAFUTA NA SERIKALI,MSHAHARA WENYEWE WAMEONGEZE KIDOGO SANA,HIVI HII NCHI INAENDA WAPI AU NDIO SIKU ZA MWISHO????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...