
msanii ray c anatarajia kupaa kwenda ughaibuni hivi karibuni kwa shoo kadhaa kwenye miji mbalimbali ya marekani. tarehe na ratiba vinatayarishwa na vitatolewa karibuni. kwa sasa mcheki www.bongocelebrity.com ambako ameanika juani mambo yake karibu yote
Ray C lini utakuwa mbunge kama Amina Chifupa? au unasubiri nikiwa raisi nikuteue kuwa mkuu wa wila ya kama Beti Chalamila? hivi na wewe unaitwa Ray Chalamila eeeh? nyie ni ndugu? au beti ni mamako?
ReplyDeleteAnnon Hapo Juu...Betty siyo mama yake Ray C...Ila sema tuu wana same last name Chalamila.I knwo this for the fact maana Betty is My aunty basically Huyu Rehema Cahalamila ni jina tuu.
ReplyDeletehuyo anon wa kwanza kabisa anaongea pumba nzito,au unaweza kuyaita mashudu!
ReplyDeleteHivi Michuzi huna cha kutuwekea ??? Tumechoka na haya madubwasha !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletemtoto mzuri huyu ila punguza mkorogo utakuua
ReplyDeleteMoses Moo ngoma unaileta tena hakikisha unampima bro maana ngoma taulo la Hoteli!peace out
ReplyDeleteNYIE WOTE HAPO JUU NI "MA-HATERS" HAMNA CHA KUSEMA ILA KUMPONDA RAY C. KAMA AMEWAFUNIKA MKUBALI TU? KAMA ANATUMIA MKOROGO? AU NI MKUU WA WILAYA WHAT IS IT YOU? KAMA HAMNA CHA KUONGEA SHUT THE F--K UP. TUNAMSUBIRI KWA HAMU SANA HUYO RAY C ATAKOPOWASILI HAPA WICHITA, AU KC KWANI SIKU HIIYO LAZIMA TUMUONE TUU
ReplyDeleteHey Ray C,
ReplyDeletevipi big apple ipo katika ziara yako? Washabiki wako wa Nyuu yoku twakusubiri,
mtoto upo matawi ya juu funika bovu.nashauri ufanye corabo na mzigua mwenzako wa bukoba saida toroli
ReplyDeletejamani muacheni ray c afanye kama yeye awezi kufanya kama nyie...,chuki za nini?
ReplyDelete