abiria wa pikipiki dar huvaa kilemba wakati dereva anavaa kofia ya chuma...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2007

    kwanini huyu abiria ameangalia pembeni? Sheria inasemaje? Inatikiwa awe amemkumbatia huyu dereva na kuangalia mbele.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2007

    Helmet hana,na huo ukaaji wa abiria haufai

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2007

    Mheshimiwa Issa HABARI ZA LEO KAKA..SHUKRANI KWA PICHA..KWELI ISSA MUUNGWANA UNAWAPA LIFTI MPAKA KWENYE PIKIPIKI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...