prezidaa wa sofia records mussa kissoky alikuwepo eapoti kuwalaki josiah kibira na trupu lake lililokuja jana tayari kuanza kushuti filamu ya bongoland II. bofya hapo chini kusikiliza intavyuu ya josiah kibira kabla hajaondoka jiji pacha la minnesota

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. I like CRDB's Idea Lakini I will be a fool kama nitaweka hela zangu mahala ninapochajiwa Interest (Interest shall stop accruing but charges shall continue accruing and
    applied until the account is exhausted" wakati mimi ndio nakuwa nimeinvest fedha.

    Sometimes we go through different crises, why would you exhaust my money while I am gone? It would have made more sense to renew the same terms and conditions over and over as long am gonne, kinda like Auto renewing the contract every time it expires.

    CRDB plz drop that old style banking system, nendeni na wakati. Mambo ya kuchaji watu kwa kuwapeni pesa zao acheni. Tafuteni jinsi ya kuzizungusha izo pesa kwa risk yennu lakini sio kunichaji mie interest kwa sababu eti nina account na CRDB.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2007

    Bwana Michu wewe ndio tunakueshimu sana sasa unatia aibu ya kuandika kugha baya kama prezidaa,trupu,kushuti maana hii sio kiswahili au swahili falisafa au kiswahili sanifu ndio watu wengi wanpenda hii blog yako lakini nipata shida kila mara wakiniuliza hii ndio swahili gani kama unandika kingereza andika sio kuweka vitu viwili hata havina maana naomba kama halikuwapo kifimbo cheza leo hii nazani hungelikuwa upechapwa fimbo kazaa...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2007

    I won't even bank with them anyway, there is no accountability. Atakuja mtu mmoja kula pesa yote badala ya kumpeleka mahakamani wanamuuliza muungwana kwanza. Akisema hakuna uchunguzi basi, pesa ya watu imepotea. Bilali Bado anapeta mtaani hatujasikia lolote lile dhidi yake.

    Kama mnataka badili mentality ya kufanya biashara, tujeengeeni mazingira mazuri ya uwekezaji, onyesheni uwajibikaji, uwazi na heshima ya utawala wa sheria watu watawekeza.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2007

    you maricha are you crazy man or did you go to school man, if you have you comment put them at the right picture not this one which is showing about bongoland 11,watu tunataka kuburudika na picha za michu leo hii unatuletea issue za CRDB, Mpumbavu sana wewe na michu sometimes na wewe pia nishai japo kuwa ni blog yako unaweka comment za mijitu wakati haziendani na picha iliyo postiwa hapo juu.
    hata kama shule hajapanda lakini ufahamu na macho si mnayoo..sometimes mna bore kichizi wachizi wangu.
    miricha peleka uchungu wako direct kwa mkurugenzi wa CRDB kama kweli unaubavu huo usitulete kizai zai bure katika issue zetu za bongoland 11

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...