mwaka janamaafisa wa chama cha hakimiliki (cosota) walivamia maeneo ya kariakoo na kufuma jamaa wakidurufu kazi za video za sinema na muziki kwenye kiwanda hiki. sijasikia kilichoendelea na jamaa kama hawa ambao wako wengi wanaendeleza libeneke kama kawa. kifanyike nini kuua wizi huu wa haki miliki ambao unaumiza sana wasanii hasa wa bongo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2007

    BARUA YA WAZI KWA BWANA HARRY KITILYA,KAMISHNA MKUU,TRA:
    Mkuu,kama ambavyo ulianzisha utaratibu mzuri na madhubuti wa kuweka sticker kwenye pakiti za sigara,chupa za konyagi,wine etc,basi mara moja anzisha utaratibu wa kuweka sticker za TRA kwenye kanda za muziki na video. Mzee ukifanya hivyo overnight piracy itakufa Tanzania na kipato cha serikali kitaongezeka.wanamuziki pia maisha yao yatainuka.
    nawasilisha mzee.

    ReplyDelete
  2. Hata hapa USA hao pirates wapo. Juzi nimenunua copy ya The Last King of Scotland, Dollar $5 tu kutoka kwa 'ghetto machinga'! Tena ina kila kitu mpaka Extras na behind the scenes etc. Quality safi. Dukani ingekuwa dollar $20.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2007

    HAWA MNAOWATETEA WAO NI PIRATES WAKUBWA SANA KWA KUIGA BAADHI YA SEHEMU ZA KAZI ZA WATU WA NJE, LAKINI HAOHAO NDIO WALALAMIKAJI WAKUBWA SANA. KUTUMIA SEHEMU YA KAZI YA MTU MWINGINE NI WIZI, HAPA TANZANIA WASANII WETU WA BONGO FLAVA NA NYIMBO ZA INJILI ZINA SEHEMU ZA KAZI ZA WASANII WA NJE.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2007

    HAPO JAMAA AKIWEKA KANDA MOJA ANATOA KOPI MIA MOJA KWA MPIGO... KAZI IPO.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 05, 2007

    wewe wa kwanza uliyetoa mawazo kwa TRA kuweka sticker kwa kweli tunahitaji watu kama nyie na sijui kwa nini usiende moja kwa moja kwa huyo mkuu umweleze na waaangalie na bidhaa zote zinazoweza kuwa pirated wa aaply same method...hapo serikali itapata chake na watu wa haki miliki watapata chao....na wewe CHIKU CHEMPONDA ole nikushike na wizi wako huo wa kutunyima tax zetu...subiri nitafute mwiko wangu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...