THE TANZANIA AMBASSADOR TO UK & IRELAND
Hon Ms MWANAIDI SINARE MAAJAR IS VISITING DUBLIN ON 07/07/2007
ALL TANZANIANS RESIDING IN IRELAND ARE WELCOME

VENUE:The RUSSEL COURT HOTEL, Harcourt Street Dublin 2.
TIME :6pm, followed by Food/Drinks & Entertainment
************

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2007

    Lazima tuibuke hamna noma wala nini!

    http://www.russellcourthotel.ie/

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2007

    Mabalozi wengine tafadhali igeni mwendo wa huyu mama, anapenda sana kukutana na watu wake. Niko hapa ulaya (sio UK), balozi hata simjui sura.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2007

    Wa USA ndio hata picha hamna toka sijui miaka gani picha is coming soon...duh aibu... Click here and see picture is coming soon Mpaka leo huu sijui mwezi wa ngapi. Hamna balozi au ni uvivu wa kuupdate hiyo site

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2007

    Anony hapo juu Chukuwa Tano. Ni raisi kuonana na viongozi wa kitaifa wa Europe kuliko Balozi wa tanzania.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 04, 2007

    Maajar inakuja kusapoti ile kampuni ya kukagua magari sijui nini utility ile ya TBS. mlioko huko mbaneni na maswali kuhusu hilo dili.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 04, 2007

    Hilo tangazo lina makosa,mabalozi wetu hawaitwi "AMBASSADORS" wanaitwa HIGH COMMISSIONERS. Sina hakika kama aliyeandika ni afisa wetu wa ubalozi nchini UK, kama ni hivyo basi ipo kazi!mambo madogo ya namna hii yanapoonyesha dosari ni aibu!Mara nyingi tunasisitiza kazi hizi wapewe watu wenye ujuzi na taaluma hizo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 04, 2007

    1. Mabalozi wa nchi za Jumuiya ya Madola (commonwealth)Tanzania ikiwa ni moja wapo huitwa 'High Commissioner'
    2. Mabalozi siku zote huitwa 'His/Her Excellency'(H.E)sio Hon.
    3. Hiyo card au mwaliko ni 'fake'. Ulizia Ubalozini kabla ya kwenda huko. Huenda myumaji alidhani kuwa ni 1st.April (Fools day)

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 04, 2007

    Yule jamaa wa Mwanza inabidi ashtakiwe kabisa maana badala ya kumchonga nyerere kamchonga babu yake sijui babu yake alizaliwa mwaka mmoja na nyerere ndio maana.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 04, 2007

    si mchezo kiinglish cha tangazo hilo kimetulia kupita maelezo, lugha ya mwenzio ni ya mwenzio tu. Khaa mweyangu mwee!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...