TANZANIA ASSOCIATION OF MICHIGAN

A FUND RAISING EVENT to benefit orphanage ORGANIZATIONS in Tanzania. PLEASE JOIN US AT THE NEW CLUB SIERRA INTERNATIONAL ON 19325 PLYMOUTH RD.
{BETWEEN SOUTHFIELD & EVERGREEN}

DATE: 7TH OF JULY 2007
TIME: 8.00 P.M. UNTIL 3.00 A.M.
ADMISSION $ 10.00

“COME AND ADMIRE OUR TRADITIONAL AND CULTURAL FASHION SHOW”
AMBIANCE OF MUSIC DOMINATED BY THE
GRAND MASTER’S

COME EARLY AND ENJOY OUR DELICIOUS TANZANIAN FOOD.
FOR MORE INFORMATION, CALL 586-354-5479, 734-740-7040

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2007

    Huu ni utapeli mtupu na serikali ya JK imeshapiga marufuku watu wanao changisha hela kawa sababu ya watu wengine maana hizi hela haziwafikii walengwa.Orphanage Tz wanatumiwa sana na matapeli.
    Watu wa Michigan kuweni makini huu sio ukweli maana mtu mwenyewe unayechangisha huna kazi sasa hizi hela ukizipata kweli si zitakuwa zako?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2007

    Hii michango ni kuwanufaisha watu wachache tu. Hizi hela tukichanga hazitawafikia hao yatima hata kidogo. Tumeshajifunza mengi kutokana na hii michango. Ni bora wangeanzisha foster care system kule Tanzania na sio kuwarundika watoto kibao pamoja na mtu mmoja anatafuna ulaji wote hela ambazo zingetakiwa kuwasaidia hawa yatima.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2007

    Naomba niwatoe shaka. Kabla ya kupeleka hicho kiasi cha fedha huko nyumbani orphanage ya uhakika itatafutwa na fedha zitatumwa kupitia taasisi inayoeleweka. Nina uhakika tutafanikiwa tu. Wote mnakaribishwa na mzee wenu nitakuwepo katika kuhakikisha kuwa mambo yote yanakwenda vilivyo. Wakati wa kusubiri wazungu watusaidie kwa kila kitu umepita! Na hofu ya kutapeliwa ni hofu ya msingi lakini isiwe sababu ya watu kutokutenda. Katika jambo lolote kuna risk zake, na hilo ni moja lakini tutajitahidi kwa kadiri tuwezavyo kuhakikisha kuwa michango hiyo inawafikia walengwa. Kwa yeyote anayetaka maelezo zaidi wasiliana nami mwanakijiji@journalist.com

    Angalia picha za picnic ya Tanzania Association of Michigan hapa: http://www.jambophotos.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...