mura zenye ujumbe wa nanihii buguruni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2007

    wewe Michuzi nanii ndio nini? Sema UKIMWI au ngoma. Ndio maana tunakufa kwa kuogopa kusema ukweli. Mtu akifa utasikia ooh Malria oooh Kisukari yaani shida tupu semeni ukweli msiogope

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2007

    Michu,
    ukizunguka upande wa pili wa ukuta utaona watu wanashughulikiana bila ya mpira.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2007

    Mchoraji mzuri na mpiga picha mzuri!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2007

    Katika dunia ya leo, usemi wa "Ukimwi ni kifo" sio wa kweli tena. Waathirika wanaweza kuishi maisha marefu na ya matumaini kama watapimwa mapema na kutumia ARVs bila kukosa. Tuache kutoa elimu ya kutisha watu na ya kuwatoa matumaini. Badala yake tuwaelimishe jinsi ya kujiepusha na kuwafariji. Kutisha watu hakupunguzi maambukizi au vifo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 05, 2007

    Duh! lakini ngoma imechukua watu weeeengi muno. Yaani bongo tu karibu kila familia imeguswa na kifo cha ngoma. Kweli huyu mdudu amedhamilia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...