Home
Unlabelled
mura
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wewe Michuzi nanii ndio nini? Sema UKIMWI au ngoma. Ndio maana tunakufa kwa kuogopa kusema ukweli. Mtu akifa utasikia ooh Malria oooh Kisukari yaani shida tupu semeni ukweli msiogope
ReplyDeleteMichu,
ReplyDeleteukizunguka upande wa pili wa ukuta utaona watu wanashughulikiana bila ya mpira.
Mchoraji mzuri na mpiga picha mzuri!
ReplyDeleteKatika dunia ya leo, usemi wa "Ukimwi ni kifo" sio wa kweli tena. Waathirika wanaweza kuishi maisha marefu na ya matumaini kama watapimwa mapema na kutumia ARVs bila kukosa. Tuache kutoa elimu ya kutisha watu na ya kuwatoa matumaini. Badala yake tuwaelimishe jinsi ya kujiepusha na kuwafariji. Kutisha watu hakupunguzi maambukizi au vifo.
ReplyDeleteDuh! lakini ngoma imechukua watu weeeengi muno. Yaani bongo tu karibu kila familia imeguswa na kifo cha ngoma. Kweli huyu mdudu amedhamilia.
ReplyDelete