WAPIGAJI WA PENATI WA YANGA NA MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO
1. SHADRACK NSAJIGWA (JUMA KASEJA KADAKA)
2. WILSON NDLOVU (KAFUNGA)
3. AMRI KIHEMBA (KAFUNGA)
4. THOMAS MAURICE (KAFUNGA)
5. ABDI KASSIM (KAPAISHA)
PENATI Z NYONGEZA ZA YANGA:
1. ABDI KASSIM (KAMPA KASEJA MIKONONI)
2. NGASSA (KATUNGUA EMBE)
---------------------------------------------
PENATI ZA SIMBA NA MATOKEO YAKE
1. SAIDI SWEDI (KAFUNGA)
2. MOSES ODHIAMBO (IVO MAPUNDA KAPANGUA)
3. SHAABAN KISIGA (KAGONGA BESELA)
4. NICCO NYAGAWA (KAFUNGA)
5. GEORGE OWINO (KAFUNGA)
PENATI NYONGEZA ZA SIMBA:
1. DAN MRUANDA (KAPIGA NJE)
2. HARUNA MOSHI (KAFUNGA NA KUIPA SIMBA UBINGWA)
1. SHADRACK NSAJIGWA (JUMA KASEJA KADAKA)
2. WILSON NDLOVU (KAFUNGA)
3. AMRI KIHEMBA (KAFUNGA)
4. THOMAS MAURICE (KAFUNGA)
5. ABDI KASSIM (KAPAISHA)
PENATI Z NYONGEZA ZA YANGA:
1. ABDI KASSIM (KAMPA KASEJA MIKONONI)
2. NGASSA (KATUNGUA EMBE)
---------------------------------------------
PENATI ZA SIMBA NA MATOKEO YAKE
1. SAIDI SWEDI (KAFUNGA)
2. MOSES ODHIAMBO (IVO MAPUNDA KAPANGUA)
3. SHAABAN KISIGA (KAGONGA BESELA)
4. NICCO NYAGAWA (KAFUNGA)
5. GEORGE OWINO (KAFUNGA)
PENATI NYONGEZA ZA SIMBA:
1. DAN MRUANDA (KAPIGA NJE)
2. HARUNA MOSHI (KAFUNGA NA KUIPA SIMBA UBINGWA)
pole sana kaka michuzi, naona chama lako limelowa, mi Alex, mzee wa Liver, mi mwenzio ni damu damu tu, Liver, huku Simba, pia nashukuru sana kwa kutupa nyuzi mkuu, maana bila wewe, tungekuwa hatujajua matokeo
ReplyDeleteYes safi sana wekundu wa Msimbazi, hawa jamaa wa Jangwani watapunguza kuchonga.
ReplyDeleteshukran kwa matokeo.... ahsante sana...
ReplyDeleteYANGA MDEBWEDO
Hivi inakuwaje kipa mfupi kama Kaseja anakuwa mtaalam wa penalti kiasi hiki. Haya sasa Yanga mliambiwa mkae mkao wa kuraruliwa, ingawa ni kwa matuta ila nyie hamna nyimbo kwetu.Mwakani sisi ni lazima tutinge angalau robo fainali katika kombe la mabingwa.
ReplyDeleteMichuzi, ongera mkuu ...speed yako ya kutuletea news mpya inatisha.Please usichoke.
ReplyDeletehahahahahha! kweli yanga noma sasa inakuwaje wanatungua maembe na kumkabidhi kipa wa simba mkononi??? hao hawafai kabisa. hongereni simba naona mmejipatia ushindi wa bure hapo.
ReplyDeleteJuma Kaseja Juma sio mfupi kiasi hicho. Umbo lake ni la kimpira na bado 'Tanzania One', Maximo inabidi amfikirie upya. Ivo Mapunda anabaki kuwa substitute wa Kaseja. Tatizo la Ivo Mapunda anakuwa na papara golini has akisha fungwa goli moja au pinzani kuongoza. Kama ingekuwa ni Kaseja Senegal wasingetufunga 4-0 kule Dakar. Mara zote wakati wa penalts tano Kaseja lazima atafuta 1 au 2 kama alivyokuwa Mwameja vile.
ReplyDeleteANONY 1:40 UNAONYESHA ULIVYO NA MAWAZO MAFUPI KAMA KASEJA WAKO. KWANI KASEJA KUFUTA PENALTI NDIO KIPA BORA?? TEAM YA TAIFA HATUCHAGUI KIPA SABABU YA PENALTI, HATUTEGEMEI PENALTI TUKICHEZA NA MSUMBIJI AU SENEGAL ACHA USHAMBA PALE NI MAMBO YAPOINTS TUU. KUNA WATALAAMU WA KUJUA WACHEZAJI ; WACHEZAJI WAREFU WANAFAAA ZAIDI HASA KIPA. KASEJA ALIFUNGWA NA WAMAKONDE GOLI LA MBALI SABABU YA UFUPI SIMBA IKAISHIA KUTOLEWA KWA PENALTI ZAKO UNAZOMWONA ANAOKOA!!! ACHA MAMBO YA UNAZI KWENYE UKWELI HUWA INAUMA SANA ILA POLE TUFANYEJE IVO NDIO ANAFAA TEAM YA TAIFA HATA UFANYE NINI. SENEGAL MAGOLI YALIFUNGWA UZEMBE WA MABEKI ZAIDI. NDIO NYINYI MNAOSIKILIZA RADIO HALAFU MNAKUWA WABISHI KAMA RUBA!
ReplyDeleteANONY WA JULY 9,2007 7:39:00 UMENIFURAHISHA SANA KWA COMMENTS ZAKO ZILIZOENDA SHULE, YANI HAPA NI DHAHIRI INAONYESHA WEWE NI MWANAMICHEZO, NA SI NAKUBALINA NA WEWE KWA SABABU MIMI NI YANGA LA HASHA, NAKUBALIANA NA WEWE KUWA KUNA WATU HAWAENDI KUANGALIA MPIRA WANACHOFANYA WANASIKILIZA KWENYE REDIA LAKINI WAKIANZA KUSIMULIA UNAWEZA KUFIKIRI KANA KWAMBA WALIKUWEPO UWANJANI, NYIE WATANZANIA AMKENI SASA HUU SIO WAKATI WA KUTAKA KULUMBANA PASIPO SABABU HIVI KWELI LEO UNAWEZA UKASEMA KASEJA ANASTAHILI KUMUWEKA BENCHI IVO? HUYU ANAYEFIKIRIA HIVI ANAWEZA AKAWA NA MATATIZO YA AKILI, NA PENALT HAZINA UFUNDI JAMANI KAMA ZINA UFUNDI BASI HUYO HUYO KASEJA ANGEDAKA PENALT ZA TEXTILE DU PUNGUE YA MSUMBIJI, KAMA KUNA MTU ALIKUW AUWANJANI NA AJITOKEZE HAPA ATUELEKEZE NI PENALT IPI KASEJA ALIPANGU, PENALT ZOTE ZILIKUWA ZINAINGIA NYAVUNI NA KASEJA ANABAKIA KUZIANGALIA TU, SO ACHANI MAPEPE ANGALIENI UWEZO WA MCHEZAJI NA SI KWA SABABU HUYU ANACHEZEA TIMU NINAYOISHABIKIA MIMI ALA!
ReplyDeleteAjabu lakini za Yanga anadaka sijui hawajui kupiga au anavyosema Micho wakati akiondoka jana kwamba Yanga ndio timu ngumu sana kufundishika katika timu zote alizopitia.Wachezaji wagumu sana kuelewa na watu wanatafuta visingizio.
ReplyDelete