

Nilipokuwa njiani kurudi Dar, nilipata nafasi ya kutembelea Nyerere Square pale Dodoma, Makao makuu ya Serikali ya Tanzania na kukuta mnara wa sanamu la hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nafikiri sura wameipatia, sijui wadau wengine wanasemaje, au ni sawa na ile iliyokataliwa mjini Mwanza? maoni yenu....
(mdau: abdallahmrisho.blogspot.com)
Alyetengeneza hii sanamu amejitahidi. ila nadhani hiyo sura hasa mdomo, na pua, vina walakini. Ukiambiawa huyu ni pacha wa mwalimu utakubali. ukiambiwa ni Mwalimu mwenyewe ni tabu kukubali
ReplyDeleteSura kweli lakini mwili sidhani kama ninmkumbuka kama mtu mnene. Mimi nakumbuka kama mtu mwembamaba vile . Au ni pich atu ya karibu sana.
ReplyDeleteWamejitahidi na bado ni safi tu
Huyu amejitahidi tofauti na ya Mwanza, ya Mwanza ilikuwa tofauti sana na Mwl J.K. Nyerere.
ReplyDeleteHe !! akirudisha nywele nyuma halafu dentisti afanye marekebisho, atakuwa Kim Il Sung..SAMAHANI BABA WA TAIFA TUNACHANGIA HOJA TU..
ReplyDeleteHiyo pedestal haiko proportional na sanamu yenyewe, imeimeza. Either sanamu ni ndogo mno au pedestal ni kubwa mno. Mifano ya proper propotions;
ReplyDeletehttp://www.wallstreetwebmasters.com/liberty/statue_of_liberty.htm
The Askari Monument is another good example of well proportioned pedestals.
Ha hilo sanamu linanikumbusha u-dikteta tu...nchi iko nyuma upotevu wa hela tu...tuangalie maendeleo sasa amepitwa na wakati...liporomoshwe kama lile la Sadaam Hussein
ReplyDeletenyerere alikuwa hana kitambi.
ReplyDeleteMANYUNYU
nyerere alikuwa hana kitambi.
ReplyDeleteMANYUNYU
nyerere alikuwa hana kitambi.
ReplyDeleteMANYUNYU