Nilipokuwa njiani kurudi Dar, nilipata nafasi ya kutembelea Nyerere Square pale Dodoma, Makao makuu ya Serikali ya Tanzania na kukuta mnara wa sanamu la hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nafikiri sura wameipatia, sijui wadau wengine wanasemaje, au ni sawa na ile iliyokataliwa mjini Mwanza? maoni yenu....

(mdau: abdallahmrisho.blogspot.com)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2007

    Alyetengeneza hii sanamu amejitahidi. ila nadhani hiyo sura hasa mdomo, na pua, vina walakini. Ukiambiawa huyu ni pacha wa mwalimu utakubali. ukiambiwa ni Mwalimu mwenyewe ni tabu kukubali

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2007

    Sura kweli lakini mwili sidhani kama ninmkumbuka kama mtu mnene. Mimi nakumbuka kama mtu mwembamaba vile . Au ni pich atu ya karibu sana.

    Wamejitahidi na bado ni safi tu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2007

    Huyu amejitahidi tofauti na ya Mwanza, ya Mwanza ilikuwa tofauti sana na Mwl J.K. Nyerere.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2007

    He !! akirudisha nywele nyuma halafu dentisti afanye marekebisho, atakuwa Kim Il Sung..SAMAHANI BABA WA TAIFA TUNACHANGIA HOJA TU..

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 04, 2007

    Hiyo pedestal haiko proportional na sanamu yenyewe, imeimeza. Either sanamu ni ndogo mno au pedestal ni kubwa mno. Mifano ya proper propotions;

    http://www.wallstreetwebmasters.com/liberty/statue_of_liberty.htm

    The Askari Monument is another good example of well proportioned pedestals.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 04, 2007

    Ha hilo sanamu linanikumbusha u-dikteta tu...nchi iko nyuma upotevu wa hela tu...tuangalie maendeleo sasa amepitwa na wakati...liporomoshwe kama lile la Sadaam Hussein

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 04, 2007

    nyerere alikuwa hana kitambi.
    MANYUNYU

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 04, 2007

    nyerere alikuwa hana kitambi.
    MANYUNYU

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 04, 2007

    nyerere alikuwa hana kitambi.
    MANYUNYU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...