Mdau,

Cheki na hiyo hapo chini

Tanzania vyombo vya habari binafsi hoyeeeee!

http://video.aol.com/video/tv-tanzania-startv/1929627

Fred

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2007

    Hivi Michuzi unafikiri kuangalia hizo TV ni bure? mbona ziko kwenye net muda mrefu tu. Ngoja tuwaombe wachina waziweke bureeee kwani hawashindwi kitu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2007

    Michu hii naona kwa baadhi ya sehemu mi nipo hapa UK inaniambia the clip is not currently available in my area.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2007

    mbona screen iko blank, au london hiyo tv sio ruksa

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2007

    Ndugu Michuzi,

    Napenda kuwataarifu tena wadau hapa katika blogu yako juu ya umuhimu wa lugha ya Kiingereza. Nina bandika habari inayotoka IPP inayosema ifatavyo:

    "The Sokoine University of Agriculture (SUA) Deputy Vice-Chancellor (Academic), Prof. Dominic Kambarage, has said that English language used in higher learning institutions as the medium of instruction was one of the factors contributing to students' poor performance in their studies".

    Kuna wengi hapa walikuwa wanataka Kiswahili kiendelee kuwa lugha ya kufundisha mashuleni. Sasa kama wasomi wetu hawawezi kujiendelesha wakifika chuo kikuu kwa kuwa kiingereza chao ni cha hali ya chini, tutaweza vipi kujiendeleza kiuchumi kama hatuelewi lugha ya Kibiashara ya Kimataifa?

    Napenda kuwakilisha.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2007

    Swahili Language in University level.

    Nakubaliana na anon wa hapo juu kama tunataka kuua elimu ya Tanzania tujifanye kutumia kiswahili. Hili ni dili la watu wachache ambao wanataka kabla hawafa wapewe mkataba wa kubadili au kutafsiri vitabu vya kiingereza katika lugha hii ambayo bado ni changa.

    Mtazamo wangu tuanze kuongelea suala hili baada ya miaka 150 ijayo, ukiangalia nchi ambazo zinatumia lugha yao katika elimu ni nchi ambazo zipo mbele katika technology na maendeleo kwa ujumla. Sasa leo hii nchi yetu ambayo imeridhi mfumo wa kikoloni wa kiingereza katika kila nyanja ukisema ubadili lugha unamaanisha system nzima ibadilike.

    Jambo kubwa hapo ni kuangalia switching cost from english to swahili, kwanza utatakiwa kutrain upya wahadhiri ili waweze elewa misamiati ya kiswahili katika fani zao.

    Nafikiri huyo aliyetoa wazo hilo atakuwa Prof wa Kiswahili anataka ulaji.

    Bado sana tusijidanganye kabisa, Kama mtu hajui English jiulize form 4 mpaka form 5 alisomaje? aliiba mitihani, na hata kwenye kuiba lazima alikuwa anaelewa english kuweza kusolve hayo maswali nje ya chumba cha mtihani.

    Kama haelewi lugha ya kiingereza basi hastahili kabisa kuwa elimu ya juu na lazima awe discontinued.

    tuache blaa blaa kwenye fact maana TZ tuna katabia kila kitu usanii tu kwa hili nasema bado sana, tuache vizazi vitatu vijavyo waje kulijadili sisi tuwaandalie mazingira ya kuleta maendeleo kwa sasa.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 09, 2007

    DVC ni Kambarage tayari, du!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 09, 2007

    .......and my wife wangu ......

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 09, 2007

    Mimi nashindwa kuiona, kunakuwa na screen ya kijani na maneno tu. Ni kwa nini?

    ReplyDelete
  9. Anony wa:
    "Tarehe July 9, 2007 2:37:00 PM EAT, WATU WA UK HATUPATI HIZI CHANNEL ZA INTERNET ZA BONGO"

    Nimefanya kitu fulani na hizo link, na inaelekea watu wanaweza kuunganisha, hivyo natuma hapo na wewe ujaribu, huenda utafaidi. Copy link unayotaka kutizama, kisha Paste kwenye "Windows Media Player" (version 10 ama 11) yako ama "Real Media Player" toleo la 11 kisha itakuonyesha kuwa ina-connect ama "buffer", subiri ikifika 100% utaona TV LIVE kama wanavyojionea waliopo nyumbani Tz.

    Links ni hizi:

    Channel TEN
    http://tinyurl.com/24awmk

    StarTv
    http://tinyurl.com/3xhap3

    Ikiwa njia hii inashindikana kwako,

    basi, nenda kwenye blog: http://nukta77.blogspot.com nimeziweka pale

    Ama nenda tovuti ya: http://video.aol.com pale kwenye "search box", taipu Channel 10 ama Star TV kisha utizame kupitia hapo.

    Wasalaam,

    Subi - nukta77.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 09, 2007

    Subi, Asante sana kwa hizo link. Sisi tulio mbali na nyumbani itatusaidia kuona mambo ya huko.

    Thanks once again

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...