mambo yanazidi kuwa mambo sanaa pub pamoja na vijembe vyoote anavyopigwa tidi...haijalishi. jamaa anazidi kudunda kwa sana tu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nilikuwa nasikia wimbi "chagua moja" wa TID,nikajiambai mwenyewe kuwa huyu kijana ana kipaji.Lakini pengine ujumbe uliopo kwenye wimbo huo unamfaa yeye mwenyewe pia kwani yampasa achague moja kati ya kuwa msanii mfano na kioo cha jamii au ngumi mkononi.Nadhani sio "vijembe" bali ni ile kasumba ya baadhi ya wasanii wetu kudhani kuwa "ugangwe" (hivi hili neno bado linatumika?) ni kikolezo muhimu cha u-selebriti.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2007

    huyu jamaa ndo kaisha kabisa kacopy na kupaste nyimbo yake ya NYOTA YAKO toka kwa pasada wa msumbiji. mi naona wamkandamize na copyright damage ili iwe fundisho kwa wasanii wanaoiga kupata umaarufu.
    zisikilize nyimbo zote bofya hapa halafu unambie sio kucopy na kupaste mpaka sauti, noma sana TID

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...