Baada ya msimu wa bundesliga kuwa likizo hivi sasa jamaa wa DEUTSCHE WELLEwamehamishia ubishi katika simba na Yanga.Hapa Sekione Kitojo, AboubakaryLiongo na Mohamed Abdulrahman mwenye shati la kitenge wanabishana wakiwakatika Pub moja jijini Bonn baada ya kazi.Ubishi ukaanza pale Aboualipopata simu kutoka kwa Mzee wa Baze bongo kuwa Simba imeshinda na sasafainali ni simba na yanga Simu ya mzee wa bazee mshambiki wa msondoilisambaratisha majadiliano waliyokuwa nayo juu ya mkutanao wa wakuu waafrika Accra na kuhamia dimbani.Mohamed Abdulrahman naibu mkuu wa idhaa yakiswahili ya dw ni yanga damu Gongo wazi toka enzi za mitaa ya ukami nakariakoo utotoni, wakati kitojo na liongo ni msimbazi wa kutupwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2007

    MIMI NAISHUKURU SANA SERIKALI YA AWAMU YA NNE KWA KUENGEZA BEI YA MAFUTA (FUEL)


    AHSANTE SANA MUHESHIMIWA RAHISI..... ENDELEA KUTULA ROHO ZETU

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2007

    No Michuzi, hapo umenoa. Sekioni Kitojo ni Yanga wa kutupwa!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2007

    Hawaogopi maNAZI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...