Home
Unlabelled
venanty
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safi sana, imenikumbusha mbali sana, Mweka wildlife management College
ReplyDeletevery nice view and the building OMG
ReplyDeletekuuliza si ujinga, hivi hiki chuo cha wanyama pori Mwika kipo mkoa gani? Kilimanjaro au Arusha?
ReplyDeleteNaomba niafahamishwe.
Leo nimesikia ktk vyombo vya habari kuwa Chuo Kikuu cha Utalii chenye hadhi ya kimataifa kitajengwa TZ ili kutoa mafunzo kwa ajili ya watu toka SADC countries.
Naona serikali inajizatiti ktk swala la elimu ya utalii kwa watu waliopo ktk sekta hiyo. hii itaboresha sana uendeshwaji na usimamizi wa sekta ya utalii.
Kapeto
Kapeto,
ReplyDeleteChuo cha Wanyamapori Mweka (sio Mwika) kipo KIBOSHO Moshi vijijini Mkoa wa Kilimanjaro.
Bella.
Kapeto, Mwika na Mweka ni maeneo wawili tofauti kabisa. Chuo kinaitwa Mweka na kipo mkoani Kilimanjaro
ReplyDeleteSina nia mbaya. Naomba mwenye blogu hiyo atumie Kiswahili. Kingereza chake ni kibovu mno ukimpima kwa kutumia mizani ya BCOM digirii anayotangaza kuwa anaayo.
ReplyDeleteSoma maelezo yake kuhusu rais wa Kenya kukipigia debe Kiswahili kwa mfano.
Hata hivyo anaweza kuendelea kujifunza sarufi ya lugha ya watu siyo vibaya kutumia vijitabu vya shule ya msingi kujikumbusha 'an' 'a' 'Kenya' na 'Kenyan' zinatofauti gani na kadhalika.
Kaaaaaazi kwelikweli.
Nawashukuru Ma-Anony wawili walionielimisha kuhusu hiki chuo cha Wanyamapori Mweka (kila mara nilikuwa natamka - Mwika).
ReplyDeleteTuendelee kuelimishana ki-ustaarabu kupitia hii globu ya michuzi.
Michuzi, endeleza ule utaratibu wa kupost picha za wadau za ameneo mbali mbali ya TZ - preferably out of Dar.
Kapeto
kiswahili tayari tunajua, wacha tujipe tizi la kiingereza humu. mkosoe ajifunze, badala ya kuleta majungu na fitna.
ReplyDelete....nijuavyo watanzania kutojua kiingereza ni moja ya factors zinazopelekea wageni toka nchi jirani kuajiriwwa na makampuni toka nje.