haya na mengine mengi utayapata kwa mdau wa http://www.venanty.blogspot.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2007

    Safi sana, imenikumbusha mbali sana, Mweka wildlife management College

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2007

    very nice view and the building OMG

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2007

    kuuliza si ujinga, hivi hiki chuo cha wanyama pori Mwika kipo mkoa gani? Kilimanjaro au Arusha?
    Naomba niafahamishwe.

    Leo nimesikia ktk vyombo vya habari kuwa Chuo Kikuu cha Utalii chenye hadhi ya kimataifa kitajengwa TZ ili kutoa mafunzo kwa ajili ya watu toka SADC countries.

    Naona serikali inajizatiti ktk swala la elimu ya utalii kwa watu waliopo ktk sekta hiyo. hii itaboresha sana uendeshwaji na usimamizi wa sekta ya utalii.

    Kapeto

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2007

    Kapeto,
    Chuo cha Wanyamapori Mweka (sio Mwika) kipo KIBOSHO Moshi vijijini Mkoa wa Kilimanjaro.

    Bella.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2007

    Kapeto, Mwika na Mweka ni maeneo wawili tofauti kabisa. Chuo kinaitwa Mweka na kipo mkoani Kilimanjaro

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2007

    Sina nia mbaya. Naomba mwenye blogu hiyo atumie Kiswahili. Kingereza chake ni kibovu mno ukimpima kwa kutumia mizani ya BCOM digirii anayotangaza kuwa anaayo.


    Soma maelezo yake kuhusu rais wa Kenya kukipigia debe Kiswahili kwa mfano.

    Hata hivyo anaweza kuendelea kujifunza sarufi ya lugha ya watu siyo vibaya kutumia vijitabu vya shule ya msingi kujikumbusha 'an' 'a' 'Kenya' na 'Kenyan' zinatofauti gani na kadhalika.

    Kaaaaaazi kwelikweli.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 27, 2007

    Nawashukuru Ma-Anony wawili walionielimisha kuhusu hiki chuo cha Wanyamapori Mweka (kila mara nilikuwa natamka - Mwika).

    Tuendelee kuelimishana ki-ustaarabu kupitia hii globu ya michuzi.

    Michuzi, endeleza ule utaratibu wa kupost picha za wadau za ameneo mbali mbali ya TZ - preferably out of Dar.

    Kapeto

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 28, 2007

    kiswahili tayari tunajua, wacha tujipe tizi la kiingereza humu. mkosoe ajifunze, badala ya kuleta majungu na fitna.
    ....nijuavyo watanzania kutojua kiingereza ni moja ya factors zinazopelekea wageni toka nchi jirani kuajiriwwa na makampuni toka nje.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...