SAIDI MAULIDI KAISAWAZISHIA YANGA DK. YA 10 KIPINDI CHA PILI KWA BAO LA KIZENJI - MDEBWEDO....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2007

    We Michuzi naona unazi umekuwa mkali sana,acha Yanga wapige vitu! Hao Simba wachumba tu pamoja na kutangulia!Ila nakushukuru sana kwa update zako,big up bro misupu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 08, 2007

    wewe michuzi unaonekana simba mbona utoi matokeo kwani sasa kwa timu za bongo mpira utakuwa umeisha na yanga amesha kuwa bingwa ndio maana utaki kutoa matokeo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 08, 2007

    asa mboni hutupi matokeo zaidi weye?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 08, 2007

    Simba imefanya kweli again,

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 08, 2007

    Bao la kizenji ndio bao gani tena?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...