hawa ni wadau wangu wakubwa wa africa online ambao wametutumia picha hii kama njia ya kutoa pole kwa kutembelewa na wanaijeria na kuopnesha mshikamano katika mambo ya mtandao. toka shoto ni gerry, mc, debby na baba ketty. nashukuru sana wadau nami nawapa zawadi ya sebene la nguvu toka kwa bisengo musica ya ohio akiwemo mdau maabadi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nyie madogo wa AfOL, mmeamua kuleta matangazo humu kwenye Blog ya Michuzi kwa bei rahisi eheeee??????

    Acheni Ujanja Vijana,,, tumewashitukia...

    ReplyDelete
  2. Sasa rafiki yangu Sunday S, naona umekomaa hasa yaani unaitwa baba ketty wakati nakumbuka pale Usagarani Annex building ulikuwa mdoogo, Hongera sana baba ketty, Vipi jamaa wengine kina Mwakiuma wapo? nakumbuka interview yao ya assistant accountant mwaka juzi. hahahhaaha, wasalimie sana ila AOL nawapa pongezi katika mitandao enedeleeni hivyo hivyo. Poa dogo tuwasiliane.

    t01oif6@abdn.ac.uk

    ReplyDelete
  3. sunday vipi za siku ebana mi mshikaji wako tumesoma rumuli nakumbuka ulikuwa mwanza kipindi fulani tukapata dina pale Aspen baadae tukaenda home kumsalimia mshua, sitaki kujitaja jina humu ila nitakutafuta

    ReplyDelete
  4. Vijana mko sumati!!!, ilikuwa siku maalamu ya kupiga picha nini? aah sorry nauliza jibu,,, ilikuwa siku ya promotion...

    Nawafagilia Africa Online, kazi mnafanya vijana

    ReplyDelete
  5. Maabadi unatisha katika nyuzi pacha wangu du!siku nyingi sijasikia ukizikung'uta.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...