mtoto ernest akimlisha keki mama yake wakati wa sherehe za hepi bethdei ya saba ya kuzaliwa kwake leo mgahwa wa steers kijitonyama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kaka michu,
    blog yako tunaifagilia mno ila siku hizi unaweka issue hazina mpango kama hii bethdei.Tafadhali usitupoteze wapenzi wako,tuwekee issue za mambo ya muhim bongo.Nina hakika kuna issue za kiuchumi,biashara,siasa,maendeleo ya jamii na mapendekezo mbalimbali yanayo tolewa huko ambayo tunahitaji kuyafaham.Unaonaje ukitupa habari kama hizo?Asante,
    ni mimi Ena

    ReplyDelete
  2. jamani kama ni b'day ya mtoto waake asiweke huku kisa wew hutaki kuona? mmezidi

    ReplyDelete
  3. huu ni utamaduni wa kizungu ambao tumeupokea bila kuuchekecha kama ilivyo kawaida yetu waswahili. matokeo yake ni kukamuana pesa kwa ajili ya michango isiyokwisha.nami naungana na blogger mwenzangu hapo juu kwamba haya madido hayana maana yeyote zaidi ya kukamuana hela for nothing.
    ni mimi thobias paul

    ReplyDelete
  4. wewe Anony wa hapo juu, unauwakika gani kama hawa watu wamechangisha ?, kwani siku hizi unaweza nunua keki ukakaribisha watu, wakajilipia wenyewe wanavyokula; hapo sioni kama kuna tatizo ,kama ukiona tatizo usije kwenye hiyo birthday sio lazima.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...