
rais wa zanzaibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mh. amani abeid karume akiwa na manaibu magavana wa Benki kuu leo ikulu ya zenj. toka shoto aliokaa nao ni profesa beno ndulu (economic&finacial policies, juma hassan relly (administartion and internal controls) na kulia kabisa ni lila mkila (financial stability & deepening) na mwenye kaunda ya kijivu ni waziri wa fedha wa zenji dk. mwinyihaji makame mwadini na nyuma yao ni maafisa wa benki kuu
TZ kaziiii kweli kweli hivi manaibu Gavana wote hao wa nini! Hii yote ni kutapatapa. Uchumi wenyewe unazidi kuwa mdebwedo! Watanzania wanalia kila siku mishahara midogo! Kikwete buni serikali ndogo tu yenye vichwa vilivyotulia na si mlundikano wa watu wenye mishahara mikubwa wakati mamilioni ya wafanyakazi wa tanzania wakiambulia 9% ya nyongeza ya mshahara ambayo hata kuku wa kisasa hupati!
ReplyDeleteMzalendo