timu ya clouds media leo imejinyakulia kombe pamoja na hundi ya millioni tatu kutoka kwa wadhamini wa mashindano hayo ya raha kondom yaliyofanyika kwenye viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii kijitonyama, baada ya kuikandamiza timu ya raha kondom bao 3-2. masnepu mengine zaidi tembelea www.michuzijr.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. We Patrick Kobelo primear league imekushinda sasa unapiga ndondo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...