Home
Unlabelled
dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
BONGO SI MASIHARA DOOOOHHHH
ReplyDeleteAiseeeeee hili jiji hivi sasa sio mchezo unaweza kulifananisha na jiji la bujumbura
ReplyDeleteKAKA MICHU MARA NYIGI PICHA UNAZOTUONYESHA ZA BONGO UNAPENDELEA KUTUONYESHA TU KILA MARA ZA KATIKA YA JIJI KWANI MBAGARA CHARAMBE,MANZESE KWA MFUGA MBWA,KIMBIJI,GEZA ULOLE SIO SEHEMU YA BONGO?AU UNAOGOPA KUPANDA PANTONI MBOVU KWENDA KIGAMBONI ILI UTULETEE SEHEMU YA PILI YA SHIRINGI YA BONGO.ENE WEI NI MTAZAMO WANGU TU.NATUMAINI WADAU UTATUSAIDIA.
ReplyDeletekaka micuzi naskia shekhe NURDIN HUSSEIN amefariki mbona hutupi hizo za shekhe wetu!!
ReplyDeleteJAMANI NYIE MBONA MNAHADAISHWA NA PICHA ZA ANGANI KIJINGA HIVYO? HIVI MMEONA HALI HALISI UTEMBEAPO KWA MIGUU HUO MJI UNAOPEWA SIFA ZA AJABU AJABU. NENDENI MIKOANI MKAONE HALI HALI. BARABARA ZAO SAFI, HUDUMA NZURI NA YOTE INAWEZEKANA KWA SABABU HAKUNA MSONGAMANO WA WATU, NA WASIMAMIZI WAKE WOTE WANAFAUATILIA USAFI NA HUDUMA KWA MAKINI.
ReplyDeleteMWAMBIE MICHUZI AKUPIGIE PICHA ZA KARIKOO UONE UVUNDO NA MILIMA YA TAKATAKA ISIYOZLEWA NA HALMASHAURI YA JIJI.
KUNA JAMAA MMOJA ALIMPENDA MWANAMKE KIASI CHA KUMTAMKIA MANENO AMBAYO YALIMFANYA ASHINDWE KUJIZUIA KUCHEKA,
ReplyDeleteJAMAA; DADA NAKUPENDA KWELI NA NIPO RADHI UINGIE NDANI YA MOYO WANGU UONE JINSI GANI NINAVYOKEREKETWA.
MWANAMKE; SAWA USIJALI NTAKUTIMIZIA HAJA YAKO YA KUNITAKA NIINGIE NDANI YA MOYO WAKO. JE NIINGIE NA MAVAZI YANGU YOTE PAMOJA NA VIATU VYANGU AU NIVIACHE HAPA NJE UKIVIANGALIA?
JAMAA; ACHA MASIHARA DADA. UTAINGIAJE NDANI YA MOYO WANGU NA VIATU VYAKO. USIANGUSHE MOYO WANGU KWA UTANI WAKO MPENZI. MWENZIO NAKUPENDA HIVYO.
(VUNJA MBAVU)
Basi hata kibaha, chalinze, chamwino morogoro, na sehemu nyingine zingekuwa hivyo nahisi hata wigo wa kiuchumi nao ungekuwa mpana. Kwa mfano, ajira za kusafisha hayo majengo, na kadhalika. Tutanue miji yetu watu wasing'ang'anie hapo katikati ya mji tu, ndio maana hata matatizo ya foleni hayaishi.
ReplyDeleteNiko Bangladesh natafuta elimu (waosha vinywa najua mnalo la kukandya, anyway) ila nimekumbuka Tanzania kama nini nilipoona bandari ya salama, dah, sio mchezo
ReplyDeleteasante sana michuzi kwa vitu kama hivi, kwetu ni kwetu
sijui kwa nini watu hamtaki kuelewa.
ReplyDeleteKila binadamu ana personality yake, blog hii ni ya michuzi .
Ukitaka picha tofauti na unazoziona humu,unaweza ukatembelea blogs za wengine, kama Mjengwa ,etc.
kama umemiss sana picha za kijijini kwenu, wambie wakutumie angalau kwenye email.
Michuzi kila siku picha zake ni Dar tu,hutupi za Singida,Shinyanga,Rukwa,Ntwara na Lindi.huko ndo utapata hali halisi ya mtanzania.Tanzania sio katikati ya jiji kua braza,au unataka tuone bongo supa ????sio kweli maisha huko ni magumu sana ndo maana bongo ni ya tatu kwa umaskini.
ReplyDeleteUsijali ndugu yangu bangladesh au wapi elimu ni elimu tu si sawa na mtu ambae ajasoma all the best
ReplyDeleteMichuzi hapa naweza kutambua majengo yafuatayo,
ReplyDeleteJengo la CRDB ambalo ni ni HQ ya CRDB na tawi la Azikiwe CRDB, Mafuta House ambalo lipo karibu kabisa na na hilo jengola CRDB; Embassy Hotel lenye rangi za blue kwa kiasi fulani hapo; Pamba House inafuatiwa na TETEX Building amabpo pana ofisi za FAO unless wamehama; George's Grill inafuatiwa na Bank House ambayo inaonekana kidogo;
Katika picha hii inaonekana Holland house ambayo ina tazamana na National Audit House hapo kwenye rangi za kijani-kijani ambapo pana Benki ya KCB (T); inafuatiwa na ATC House; PPF Tower, jengo refu jeupe na vioo vingi;kwambali naweza kuona Ofisi za mambo ya ndani na Usalama wa raia, pia naweza kuona Jengo la TDFL na kwa upande wa pili jengo lenye curve ni Hoteli ya Movenpik.
Naweza pia kutambua Jengo la Ubalozi wa Zambia; Makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini, hayo majengo ya rangi ya kahawia yaliyo kaa L shape kidogo; naweza kuona paa la kijani la CDTF House ambayo ina mgahawa wa Steers nk; ikifuatiwa na Nyumba ya Maarifa inayotazamana na ATC House. Na Jengo Refu kongwe la NIC Investment House linaonekana kwa karibu zaidi kwenye picha hii.
nadhani nimejaribu kutambua kwa haraka haraka.
Ahsante Michu kwa kupost picha hii kwa sisi tuliombali hii ni moja njia ya kuwa karibu na home.
Nakumbuka kuna usemi mmoja wa zamani unaosema 'barua ni nusu ya kuonana' sasa sijui picha itakuwaje?
Hey waosha vinywa hamna dogo. Hiyo ni picha ya jiji. Hajasema picha za suburbs(sururban) za jiji. kama akienda huko ni miji mingine. Mjue kutofautisha jiji na mji na pia wilaya na mkoa.
ReplyDeleteMbona picha za NY city ni zile zile kila siku? Kwanini hamuulizi picha za Long island, Staten Island, Bronx na vichochoroni...kwanini hawazionyeshi? Si jiji lao pia....Bwana muache maneno tujivunie tulichonazo. Ukitaka picha za mbagala nenda kapige zako uweke humu.
Kaka Michuzi asante MOUTH WASHERS wasikukondeshe
wewe Michu, hivi jiji la salaam ndio mji pekee Tanzania nzima? Mbona watanzania tuko hivyo! yaani hako ka jiji ka salaama ndio wanzania wote tuna kaabudu! wakati wenzetu kila jiji linatesa ki vyake! ebu tufunguke macho na tuweke changamoto kwenye kufufua miji mingine Tanganyika.
ReplyDeleteMichuzi ni "penda vya kisasa", ingawa vingine si vyetu na wala hatuvitengenezi. Sawa na mtoto na puto (toy). lichezee siku moja, siku ya pili tupa! Baba/mama ninunulie puto jipya!
ReplyDeletevery good bro michu,tunashukuru kwa kutupa maendeleo ya jiji letu.Si mbaya kidogo kidogo tunajitahidi u knw,miaka ya mbele tutakua tumesonga mbele iwapo tutakaza moyo na kuwa na jitihada.Tafadhali keep us alert abt our lovely country na wa Tanzania tu work hard katika kuendeleza nhi yetu.Hilo na la msingi sana -nadhani---natalia.
ReplyDeleteKaka Michuzi siku nyingine jaribu kuwa mjanja kama waingereza....hiyo picha kama ilivyo radha yake ikipigwa usiku inakuwa maradufu na hata kama ni post-card inapata soko. Lini uliona mji wowote wa uingereza unaanikwa kwenye picha iliyopigwa mchana??
ReplyDeletesitastaajabika nikisikia kuwa Huu UHARAMIA unaendeshwa na WATANI ZETU wa JADI
ReplyDelete========================
Majambazi yapora, yabaka watalii
2007-08-27 08:46:42
Na Charles Ole Ngereza, PST, Arusha
Watu wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na bastola�na mapanga wameteka wasichana watatu�raia wa Uingereza na�mmoja wa Uholanzi na kisha kuwabaka kwa zamu katika shamba la kahawa nje kidogo ya Jiji la Arusha.
Tukio hilo ambalo limethibitishwa na polisi mkoani Arusha, limetokea Agosti 24 saa 6 usiku katika eneo la Njiro jijini hapa.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Bw. Basilo Matei aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa wasichana hao walitekwa na majambazi hayo baada ya kuwaamuru wanaume watatu waliokuwa nao kuteremka ndani ya gari na kulala chini.
Alisema wanaume hao wakiwa wamelala chini, majambazi hayo yaliwapora saa, mikufu, simu za mkononi na Sh. 300,000 za Tanzania na kuondoka na wasichana hao nje Jiji la Arusha ambako waliwabaka kwa zamu.
`Ni kweli hawa wasichana walitekwa wakitoka katika lango la nyumba ambayo anaishi�Mkurugenzi wa Kampuni ya Kitalii ya Arber &Kent�katika eneo la Njiro na kuondoka na gari lao lenye namba FVJ146N,` alisema Bw. Matei.
Kamanda Matei alisema wasichana hao wakiwa na jamaa zao walikuwa wakihudhuria hafla ya kifamilia nyumbani kwa mkurugenzi wa kampuni hiyo na kwamba gari lao lilipokuwa likipita katika lango la kutokea� ghafla walivamiwa na majambazi hayo.
Aliwataja wanaume waliotekwa na kuamriwa kulala chini kabla ya majambazi hayo kuondoka na wasichana hao kuwa ni Mkurugenzi wa Arber & Kent� Company Bw. Graham Wood (29) Brad Hansen raia wa Uingereza na mtumishi wa kampuni ya Tanzanite One raia wa Afrika Kusini Gavin Duke.
Kamanda Matei aliongeza kuwa baada ya polisi kupata taarifa za tukio hilo walianza� msako mkali wa kuwatafuta majambazi hayo na baadaye gari hilo likaonekana eneo la Ngaramtoni.
Kamanda alisema polisi majambazi hayo yalipowaona polisi yalianza mapambano�ya kurushiana risasi.
Hata hivyo, majambazi hayo yalipozingirwa na polisi yaliliingiza gari waliloteka katika shamba la kahawa na kulitelekeza na kukimbia kusikojulikana.
`Tulifanya kila tuliloweza na tukawaokoa hawa wasichana ila kwa bahati mbaya walishafanyiwa vitendo vibaya na watu hao,` alisema Kamanda Matei.
Kamanda Matei alieleza kuwa polisi wanaendelea na msako wa majambazi hayo.
Kamanda Matei alisema hilo ni tukio la kwanza kutokea hasa kwa raia wa kigeni kutekwa na kisha kubakwa.
Wasichana hao hao wamepelekwa jijini Nairobi katika hospitali moja kubwa ambayo haikutajwa jina kwa ajili ya kuangaliwa afya zao.
Katika tukio lingine polisi imelikamata jambazi sugu linalodaiwa kuhusika katika tukio la kuporwa kwa mfanyabiashara maarufu wa jijini hapa kiasi kikubwa cha fedha.
Alimtaja mtu aliyekamatwa kuwa ni Karoli Mbeya maarufu ka JMOO, ambaye alikutwa akiwa na bastola moja na bunduki aina ya Shot gun zote zikiwa na risasi 18.
`Hili jambazi tulilikamata baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia wema waliotujulisha alikokuwa akijificha katika eneo la kwa Mrefu jijini Arusha,` alieleza Kamanda Matei.
Alisema bastola iliyokamatwa ni aina ya Browning yenye namba 07675 na bunduki Greener Dubble Barow namba 76232FN.
`Tunaendelea kumhoji mtuhumiwa na tukimaliza tumpeleka mahakamani `alifafanua Kamanda Matei.
* SOURCE: Nipashe
Tnapokwenda mbele tutazame nyuma tulikotoka.
ReplyDeleteKatika picha hiyo ndugu Michuzi ni majumba mangapi mapya nimehesabu sikupata zaidi ya matano.