kikosi cha fc kilimanjaro baada ya uzinduzi wa chama hilo jana huko uswidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hawa wote mbona wanaonekana kama wapemba.

    ReplyDelete
  2. Michuzi naomba contact yao hao f.c.kilimanjaro natakuagiza mechi tukipige nao na wana f.c.bongo Helsinki.

    ReplyDelete
  3. Namwona Kally Ongala. Bado ni kifaa anaweza kumfaa Maximo siku zijazo.

    ReplyDelete
  4. Kali Ongalla angekuwa ameitwa toka siku nyingi sana kwenye kikosi cha Maximo, tatizo ni kuwa ana-passport ya UK. Hicho ndiyo kikwazo

    ReplyDelete
  5. Kwani Wapemba sio Watanzania?, Hii team si mtu anajiunga kama ni Mtanzania?jamani tusilete dharau na ukabila humu, wote sisi ni watanzania.

    ReplyDelete
  6. Ukiwataka wana kilimanjaro wasiliana kwa barua pepe yao: kilimanjaro@comhem.se au tembelea tovuti tao www.kilimanjaro.com

    ReplyDelete
  7. NDIYO WAPEMBA NA WAUNGUJA SIYO WATANZANIA. UKITAKA UHALISI HAO NENDA KAMWULIZE BABU MADEVU ATAKWAMBIA NA NDIYO MAANA WANAPIGANIA HAKI YA KUTENGENA KILA SIKU. WAPEMBA NA WAUNGUJA NI WAZANZIBAR. NCHI MBILI TOFAUTI. TEHETEHETEHETEHEEEEEEE

    ReplyDelete
  8. hao mabwenga na wamachinga

    ReplyDelete
  9. sasa kama kali Ongara napassport ya UK siaende akakomae akipige UK kama wakina nonda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...