Home
Unlabelled
darhattan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JAMANI WATANZANIA WENZANGU. NIMEKUA NIKISOMA HII BLOG YA MICHUZI NIKAONA WATU MNA MOYO SANA WAKUSAIDIANA.
ReplyDeleteMIMI NI MWANAFUNZI NINAFANYA BUSINESS ADMIN IN MIS AND ACCOUNTING..NINAINGIA MWAKA WA NNE. TOKA NIMEANZA SHULE NIMEJISOMESHA KWA KUFANYA KAZI ZA HAPA NA PALE NA SASA HIVI HATA SIWEZI KIFANYA KAZI KWA VILE NIMEPANGIWA INTERN AMBAYO HAITANILIPA. SITAKUA NAFANYA KAZI NA SIJUI WAPI NITAPATA HELA YA KULIPIA SHULE NA RENT MUHULA UNAOKUJA. NINAOMBA MSAADA WENU ILI NIMALIZIE SHULE HATA KAMA NIKUWALIPA NITAWALIPA NIKISHAMALIZA SHULE NIKIRUDI NYUMBANI NIKIPATA KAZI CHA KWANZA ITAKUA KULIPA HELA YENU.
WAZAZI UWEZO WALIO NAO KWA SASA NI KUWASAIDIA WADOGO ZANGU. MIMI NDIO WA KWANZA NYUMBANI NA NINA WADOGO WANNE. AMBAO WAKO KIDATO CHA KWANZA MPAKA CHA SITA.
NAOMBENI MSAADA WENU JAMANI SHULE NINATAKA NIMALIZE LAKINI HELA NILIZOFANYA KWA SUMMER ZITALIPIA TUISHION FEE YA MUHULA HUU TU LAKINI JANUARY SIJUI NITALIPA NA NINI. NA NINA MADARASA MAMIWILI PIA NITACHUKUA SUMMER YA MWANZO BASI SHULE NIMEMALIZA.
BY THE WAY MIMI NI HONOR STUDENT NA NINAFANYA DOUBLE MAJOR NA NIMEFANYA FULL TIME TOKA MWAKA WA KWANZA ILA SASA HIVI SITAWEZA KUFANYA KWA VILE NINATAKIWA NIFANYE HIYO INTERNSHIP. NAHITAJI $12,000
THANK YOU IN ADVANCE AND MAY GOD BLESS YOU ALL
JOYCE-NY
I would call it TanHattan !!We still need a couple of scrappers just to fill the in-between gaps.
ReplyDeleteNice site, check out:
ReplyDeletehttp://www.basicinstructions.net/
michu bro,Sie tunakufagilia na hiyo Darhattan hiyo tanhattan noooooo hainogi.Kwa kuwa hiyo ni Darhattan hayo maghorofa yanatosha na yanapendeza kama yalizo.Bongo haina noma wala nini.Fagilia mwananawewawawawaaaaaaaaaaaaa.Kwa kuwa unapiga panga hata hii comment utaiminya sa kuna tusi gani hapi ,Nawe sometimes Michu njomba.(u know wat am talkin about)
ReplyDeleteNice picture.
ReplyDeleteSuala lingine ni kuwa mimi binafsi sipendezwi na huu mchezo wa kuomba michango kupitia blog. Nadhani iwe ni "Taarifa ya Kifo" halafu kama kuna mtu anataka kuchangia atauliza address yako wewe mfiwa, na kwa namna moja au nyingine. ukishaandika hiyo taarifa weka e-mail yako na simu yako ili anayekujua ana kasikitishwa na msiba huo atachangia.
Maana mnavyoommba hivyo unakwaza wengine wanaanza kumsuta marehemu ooh alifuata nini huko ooh kama alienda kwa matibabu si akangewa na nauli zio vizuri. toeni taarifa ya msabi then anayependa atawasiliana na mhusika.
I ve checked out the basic instructions, sasa kwa wale wala popcorns je?, akiwa anazitoa ktk kamfuko is an irritation too,what about akitafuna? wakati wote tumelipa sawa.
ReplyDeletemJOMBA uNATAKA mILIONI 30 zA bONGO kAMA uNALIA vILE.
ReplyDeletehIVI kWA aKILI yAKO nI kICHAA gANI aTAKAYEJITOKEZA NA kUAHIDI kUKUPA aU kUKUCHANGIA mAELFU hAYO yA pAUNDI?
kAMA uNAONA hALI nGUMU, jARIBU kUFANYA kIMOJAWAPO. tAFUTA fEDHA kWANZA (sIJUI miaka mINGAPI) mWAKA mMOJA hALAFU uTAPATIWA mKOPO bANKI aNGALAU wA £15,000 iLI uKIDHI hAJA yAKO.
vINGINEVYO rUDI tU nYUMBANI kAMA mIMI. sASA hIVI nIPO bONGO nAENDESHA kABISHARA kANGU nA nIMEAJIRI wATU nIKIWA kAMA mJASIRIMALI.
Pole Dada Joyce
ReplyDeleteChangamoto kama hizo ndiyo zinafanya maisha yawe na maana. Utakapovuka kikwazo hicho utajisikia burudani sana. Naamini wapo watakojitokeza kukuchangia. Weka taarifa zako kamili ili watu wapate kuverify authenticity ya ombi lako.
Ka Michuzi,
Hiyo picha ni nzuri sana. Jina ulilobatiza pia ni zuri, lakini ni afadhali tungerejea kwenye jina la asili la Mzizima. Tuachane na hizo ...hattan au vyovyote vinginevyo. Mzizima linatosha.
Jengine, naomba ufanye upaparazi wako juu ya tatizo ambalo linazidi kukuwa huku wahusika wakiwa kimya. Ni tatizo linalowahusu TANESCO. Kuna watu wanapita mitaani wakijitambulisha kuwa wao ni mafundi wa TANESCO. Hawa hulenga nyumba ambazo zimefungiwa umeme siku za karibuni na hasa watumiaji wa LUKU. Watu hawa, mara nyingi huvizia kuwa wenye nyumba wamekwenda mihangaikoni kwao na hivyo huwakuta wafanyakazi wa ndani na kuwaambia kuwa LUKU iliyofungwa ina matatizo, hivyo, wao TANESCO wamekuja kuichukua ili wakaitengeneze. Hapo ndo inakuwa imeibwa. Haipatikani tena. Ukienda TANESCO wanakwambia 'uibiwa, lipia nyingine' Hivyo mambo huanza upya. Michuzi, hebu peleleza jambo hili, waulize TANESCO juu ya hili ili watoe tangazo maalumu, kama kweli LUKU mpya zina matatizo basi watuambie na utaratibu wa kuzishughulikia, kama kuna wizi, basi watujulishe ili tuchukue hadhari za nguvu zaidi, ikiwa ni pamoja na kuchukua sheria mkononi. Ni vizuri TANESCO wakatuweka wazi juu ya hili. Nasikia pia kuwa matapeli hawa huiba hata nyanya zinazounganisha mita na nguzo za TANESCO. Jamani, tunakwenda wapi?
Ingekuwa ni mchango wa Harusi yako Dada Joy ningekuchangia lakini unataka kusoma duh, labda ungekuwa umetoka kwa watani wa jadi, lakini wabongo?!! ok all the best....
ReplyDeleteJAMANI MWANAMME BALALI KAJENGA NI LAZIMA WATANZANIA TUKUBALI KABADILISHA VIEW YA MJI KWAKWELI INACHOTAKIWA ATOKEE MWANAMME MWENGINE AJENGE KAMA YALE AU ZAIDI ILI NASI TUWE WATU WA ULIMWENGU HUU HAO WAOSHA VINYWA WENGI WAO NI WATU PORI WAOSHE TU HONGERA BALALI MAENDELEO NDO HAYO TUTANGAZA MACHO KWA WENZETU MPAKA LINI? NASI UWEZO TYUNAO?
ReplyDeleteWe anon unayesifia majengo ya BoT Tandale kwa Mfuga Mbwa mmeenda? Kule alikoenda Rais wa Benki Ya Dunia mwaka jana? Kule Kambi ya Fisi? Hongera Balali!
ReplyDeleteMpaite Dar es salaam tu,kwa nini wabongo mnapenda makubwa ambayo si saizi yenu??Eti Darhattan!!!!ya kazi gani???Wenzenu wako first world nyie mko third world na watatu kutoka chini kwa umaskini duniani,kwa nini mnajilinganishaga mambo ambayo si kima chenu???mkijilinganisha na msumbiji,rwanda au burundi hapo ni saizi yenu wala hata watani wa jadi hamuwagusii kabisaaa.jitahidini kushandana na hao jirani zenu,eti DAR NI NEW YORK_MSINIACHE NILIE MIMI...
ReplyDelete