
hii si foleni katika mtaa mmoja hapa kampala bali magari ya hapo katikati na ya pembeni kulia na shoto ndo yamepaki na ya kwenye njia ndo yanatembea...na wenye vi-vespa kaeni mkao wa kula maana sasa hivi mtaanza kutozwa kodi ya leseni na mambo mengine kama kawa, kwamujibu wa ndoto niliyoota usiku kuamkia leo
heeeeee! i like that parking iko njema ile mbaya, na yale kule ya blu ndo twin tawa zao.
ReplyDelete