huyu ndiye nahodha wa bwawa la maini. hivi mechi ya mani yu na reading matokeo tayari mmepata? naomba mdau mwenye kujua anitonye...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Matokeo ni Draw - Bila bila!!!

    ReplyDelete
  2. Arsenal ya mwaka huu kiboko, duh!! Liverpool, Chelsea na Man subirini mvua

    ReplyDelete
  3. Mechi ilikuwa nzuri ila Reading walikuja na lengo la sare maana walijazana golini kwao mwanzo hadi mwisho wa mechi.
    Pamoja na droo hii nadhani washindani wa Man Utd wamepata salaam kuwa msimu huu tena kombe linarudi Old Trafford.

    Glory glory United ....!

    Bring on Chelsea, L/pool, Arsenal!!

    ReplyDelete
  4. Kaka hongera sana lakini safari hii mambo sio mabaya.Benitezi kafuga ndevu ubingwa ni wenu. Hongera sana mimi namkubali sana jamaa huyo.

    ReplyDelete
  5. kaka michuzi mimi na mshabiki wa man utd nilikuwa najiamini tulivyoanza msimu ila nimepate mshtuko kidogo kwa ile draw ya rwading japo timu yao nzima ilikuwa golini lakini tunahitaji striker mrefu moja saha mgonjwa mgonjwa sana
    rooney naye atakuwa nje miezi 2 kavunja hairline kwenye ankle

    ReplyDelete
  6. ebwanaaa weeee. huyu lazima atakua mbeba boksi. kavunja hairline kwenye ankle?hahaaaaaaaatehetehhh. blog hii ukiiingia utavunja mbavu!

    ReplyDelete
  7. Ndo viingereza vyetu wabongo , unaweza ukaamua kucheka lakini wewe mwenyewe ukiambiwa uongee kiingereza jasho linakutoka.

    Anyway lugha sio yetu, wacha tuachane nayo . ikbidi kuongea ndo hivyo tena, lakini kizaazaa .

    Nimeshawahi kusikiliza moja ya viongozi wetu akiongea, niliona aibu moyoni. mpaka wasomi lugha haipandi ???

    ReplyDelete
  8. ha ha ha ! wewe unaesema huyu atakuwa mpiga box, mpiga bpx wa wapi ? ....china, Tanzania, au USA ?

    ReplyDelete
  9. wajomba haswa michu pls fatilia ya liverpool sio man utd,maana leugue ya uk ni man utd na chelsea tu wengine wasindikizaji baba

    ReplyDelete
  10. Acheni kupondana nyinyi wazalendo andikeni vitu vinyohusu mada.Kujuwa kwenu ndiyo maana hatuna maendeleo,mtu anapokosea jaribu kumrekebisha,jinga nyinyi.

    ReplyDelete
  11. Manchester United striker Wayne Rooney will miss England's September Euro 2008 qualifiers AFTER SUFFERING A HAIRLINE FRACTURE OF HIS LEFT FOOT ON SUNDAY.
    United boss Sir Alex Ferguson believes Rooney will be out until October after the 21-year-old was injured in the Premier League opener with Reading.
    "We expect him to be out for two months," said Ferguson.

    ReplyDelete
  12. jAMAAA aLIPOONA rOONEY kAPATA "hAIRLINE fRACTURE" kWENYE mGUU wAKE wA kUSHOTO aKAONA dUH. kAVUNJA hAIRLINE kWENYE aNKLE yAKE.
    hAHAHAHAHAAA....tEHEHEEE jAMANI mBAVU zANGU, jaMANI mBAVU zANGU, jaMANI mBAVU zANGU wEEEEEEEEE aH! (mAHOKA).

    ReplyDelete
  13. jamani mimi ni anonymous nilietoa comment august 13 6:38

    kuna mdau hapo aliye jiuliza kuhusu hairline noamba kwanza aache ushamba hairline sio nywele kama anavyofikiria ,ni mshimpa mwembamba unaokuwa kwenye mfupa wa ankle au mertatasle so sio nywele za kichwani kama unavyofikiri, did you realy go to school or is it just because of staying abroad for a while dont be stupid investigate things before judging THIS IS FOR YOU ANONY AUGUST 13 10:35

    ReplyDelete
  14. within the patient.

    Greenstick Fracture
    The pathology of this type of fracture includes a incomplete fracture in which only one side of the bone has been broken. The bone usually is "bent" and only broken of the outside of the bend. It is mostly seen in children and is considered a stable fracture due to the fact that the whole bone has not been broken. As long as the bone is kept rigid healing is usually quick.

    Hairline Fracture
    This bone fracture has minimal trauma to the bone and surrounding soft tissues. It is a incomplete fracture with no significant bone displacement and is considered a stable fracture. . In this type the fracture the crack only extends into the outer layer of the bone but not completely through the entire bone. It is also known as a Fissure Fracture.



    NATAKUWAUMBUWA WABONGO MLIONIKANDIA KUHUSU HAIRLINE FRACTURE ,GUYS IM EDUCATED THAN YOU CAN IMAGINE READ ABOVE AND YOU WILL UNDERSTAND AND FEEL SORRY FOR YOURSELVES

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...