
nafurahi kuona wadau zaidi na zaidi wanafungua globu za picha ili kuendeleza libeneke. safari hii namkaribisha mdau kennedy anayekupa vitu kama hivyo kupitia http://kennedytz.blogspot.com/
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
unakariibishwa mnooooooooooo.!!!!!
ReplyDeleteNashukuru Michuzi kwa jeki yako kubwa sana brother Endelea na Moyo wa kusaidia wale wanaoanza Mungu
ReplyDeleteyupo nawe
awa madogo ni nini jamani,hizi blog zinawenyewe,yeye kaamua kupiga picha za kwenye tv,si ubunifu bali ni uvivuuuuuuuu,mdebwedo
ReplyDeleteBwana wabongo kwa roho ya korosho ndio wenyewe mtu kuwa na blog sio lazima iwe ya picha kama ya michuzi
ReplyDeleteTuwe watofauti si lazima wafanane
wabongo wachache bado tupo nyuma tufungue macho yetu.Michuzi kazi nzuri kuwapa moyo wanafunzi wape moyo kwani blog ni sawa na safari nani atakaye shuka kwanza. Kumbuka kila kitakachaanza watu watatafuta makosa na sio kumpa mtu moyo