nafurahi kuona wadau zaidi na zaidi wanafungua globu za picha ili kuendeleza libeneke. safari hii namkaribisha mdau kennedy anayekupa vitu kama hivyo kupitia http://kennedytz.blogspot.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. unakariibishwa mnooooooooooo.!!!!!

    ReplyDelete
  2. Nashukuru Michuzi kwa jeki yako kubwa sana brother Endelea na Moyo wa kusaidia wale wanaoanza Mungu
    yupo nawe

    ReplyDelete
  3. awa madogo ni nini jamani,hizi blog zinawenyewe,yeye kaamua kupiga picha za kwenye tv,si ubunifu bali ni uvivuuuuuuuu,mdebwedo

    ReplyDelete
  4. Bwana wabongo kwa roho ya korosho ndio wenyewe mtu kuwa na blog sio lazima iwe ya picha kama ya michuzi
    Tuwe watofauti si lazima wafanane
    wabongo wachache bado tupo nyuma tufungue macho yetu.Michuzi kazi nzuri kuwapa moyo wanafunzi wape moyo kwani blog ni sawa na safari nani atakaye shuka kwanza. Kumbuka kila kitakachaanza watu watatafuta makosa na sio kumpa mtu moyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...