
mgeni katika http://www.bongocelebrity.com/ safari hii ni msanii juma nature wa wanaume halisi. usikose mahojiano yake na tovuti hiyo yenye kuibua nyota halisi wa bongo
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
teh teh tee heee jamani hilo jacket na joto la kwetu mbona kazi????
ReplyDeleteAnon august8,2007 hapo juu unachekesha??Utavunja watu mbavu kaka.Hivi Tanzania yote ni joto tuu au mimi ndo nimekosea?Nimetoka Tanzania juzi tu na sijaisahau kamwe.Picha hiyo aliipiga akiwa Tripple A Arusha,na ilikuwa baridi.Wewe ulitaka avaaje??Au nyie ndo wale mnao lamba barafu kwenye baridi kali kisa mmezilamba Dar??Kwani angeenda kupiga njombe au mbeya ungetaka avaaje.Mimi nina picha yake ya siku aliyovaa hivyo akiwa Ar na nimepiga nae na imi nilikuwa nina jacket zito. Teheheteheteheteheteteeeee! Watu kwa kukariri bwana. wewe unajua msanii lazima avae nguo za joto??? Du kaaaaaaaazi kwelikweli
ReplyDeleteWa majita Bugunda
Unajua huyo anony wa kwanza ndiyo wale wakuja ambao wanajua Tanzania ni DSM, Ila ukiwa kule Mafinga au Makete mhhhhhhhh sijui.
ReplyDeleteMzee wa TBS