
leo mdau wa london amenikosha kweli kwa kunitumia snepu tulokula pamoja nilipokuwa ukerewe kama alivyoniahidi. asante sana abdul...endeleza libeneke maana nasikia unatumia kamera vizuri sana, na graduasheni ya mama abdul ulipiga wewe. hongera sana. unajua abdul, kwenye picha kuna kupiga na kutumia kamera. wewe kama utajiendeleza namna ya kutumia na si kupiga tu, utafika mbali. nisalmie baba na mama, waambie wakuendeleze katika fani.


Ok Picha nzuri.....Ila sijakuelewa ...aliyepiga picha hii ndiye uliyenaye ama unayemwambia ujumbe huu ni nani??
ReplyDeletehata mimi sijaelewa hapa fafanua kaka michu!!!
ReplyDelete