washiriki wa miss tz 2007 wakiwa katika mkutano wa redds kambini kwao hoteli ya beach komba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nimesikia sasa hivi Vodacom haitaki mchezo ...ni kusaini mikataba tu...na unapelekwa kwenye sheria tu ukivunja masharti yao....jamani someni fine prints hizo ....bongo nadhani badala ya kukunyang'ang'anya taji tu ukivunja masharti yao ...wanaweza kukutia jela hawa...na hayo masharti yanakaa kwa muda gani...isijekua for the rest of your life or as long you are in the country teh teh teh tehhhhhh...

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi huku mbele ulikopigia picha ndo wanakokaa Majaji au?
    Wanaweza kweli kuandika hizo points? Mweeh!
    Kaka naona hapo we kila saa ulikuwa unajifanya peni yako imeanguka chini!
    Nahisi ulikuwa umevaa koti refu mpaka magotini kama Mpiga Filimbi wa Hamelin, vinginenyo “ugeadhirika” Mwanangu! Pole sana.
    Tehe! Teh! Tee!

    ReplyDelete
  3. mICHUZI hIVI kAMA kILA nCHI iTALETA mSHIRIKI wAKE kAMA wALIVYOFANYA mISS tZuK, tUTAKUWA NA wASHIRIKI wANGAPI KWA sHINDANO lA mWAKA mMOJA?
    nASEMA hIVYO kWA sABABU mAREKANI nAO nASIKIA wANAJIANDAA kUMLETA mISS tZuS mWAKANI! hOLLAND, uJERUMANI, cHINA, jAPAN, sWEDEN, aFRIKA kUSINI, kOREA (ZOTE MBILI) nA nYINGINE nAZO zINATAKA kULETA wASHIRIKI wAO. wAANDAAJI wAKIKATAA wATAKUWA hAWAJAWAENDEA hAKI wAUNGWANA wENGINE? mUULIZE rAFIKIYO lUNDENGA mZEE wA wATOTOz.
    nAwAkIliShA (MIXER)

    ReplyDelete
  4. Jinsi mabinti walivyokaa unaweza kuwajudge personality zao. Wengine wametanua miguu kama wanasubiria.......... Siyo ukaaji mzuri wa binti mwenye personality inayoweza kuwakilisha nchi kimataifa.

    ReplyDelete
  5. wewe anon wa hapo juu unalako jambo kwani hao mabinti wamekaaje siunaona wote wamefunga miguu ipasavyo na wengine wamepiga cross chuki binafsi hizo.someones personality is not judged by their way of sitting so get ur facts right.

    ReplyDelete
  6. wewe anon hapo juu go and look for a dictionary an search for the word personality it shows clearly u do not know the meaning how can u judge people by their way of sitting?chuki binafsi hizo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...