
hapa ni kutoka katika dirisha la hoteli yangu. wadau nimechoka ngoja nipumzike kidogo. mambo mengine kesho. unajua mtu ukiwa holidei hutakiwi kuharibu mapozi. bai bai antili tumorow basi...ila wadau wa ukerewe someni ujumbe huu muhimu chini
Tanzania Association UK wishes to advise all Tanzanians that it will be holding an emergency General Meeting on Saturday 04th August 2007 at The Resource Centre, 356 Holloway Road London N7 6PA from 01:00PM to 04:00 PM.
The agenda for the meeting will be:
Updates of the Constitution
Progress of the association since the election
Recruitment of new members.
The agenda for the meeting will be:
Updates of the Constitution
Progress of the association since the election
Recruitment of new members.
Please ensure you arrive on time and for those who have not yet registered please bring two passport size photos and £25 annual subscription fee.
HOW TO GET TO THE MEETING:
Arriving at Heathrow airport:-Heathrow airport is on the Piccadilly Line of the London Underground train system and the journey to the Holloway Road station takes approximately one hour and costs £4.
Taxis:-from Heathrow to the Resource Centre take approximately one hour and fifteen minutes and costs £40.
Arriving by Eurostar train at Waterloo Station:-After arriving at Waterloo station follow signs to London Underground and take the Northern line, northbound to Leicester Square station and then change to the Piccadilly Line eastbound to Holloway Road station. The journey takes approximately 25 minutes in total. Alternativley taxis from Waterloo to the Resource Centre take approximately 40 minutes and cost about £10.
By London Underground train:-Take the Piccadilly line to Holloway Road station. On leaving the station turn left and walk under the railway bridge for 5 minutes. The Resource Centre is on the opposite side of the road and can be reached by using the pedestrian crossing.
By bus:-Buses 4, 17, 29, 43, 153, 253, 259, 271, 279 and X43 stop within a short walk of the Resource Centre. Also there are mobility buses available in the area, these are numbers 920, 921, 923 and 927.
By car:-As with most city centre venues parking can be a problem. There are some unrestricted parking areas behind the Resource Centre and these are marked on the map.
The Resource Centre356 Holloway RoadLondonN7 6PA
You can telephone the Resource Centre on:-
+44 (0)20 7700 0100
You can Fax us on:-
+44 (0)20 7700 8121
2 passport photos? mbona mambo ya kizamani hayo kama unaomba kibali cha kusafiri kutoka kwa mjumbe wa nyumba 10 bwana. Au 2 paasport photo za kupeleka uchumbani
ReplyDeleteMichuzi mbona hujatangaza kwenye blog yoyote kama umerudi. Watu bado tuangalie sehemu zote au. Maaana naona updates zilizo huku aziko kule and visa versa..All the best bro..
ReplyDeleteKaka Michuzi usitufunge kamba bwana! Hii ni hoteli 'yako' au ni HOTELI ULIPOFIKIA!?!.
ReplyDeleteMwenzetu unamiliki hoteli Kampala siku hizi?
Au na wewe uko kwenye ile "orodha aliyokabidhiwa JK?"
Au ndo nyie "Wazee wa TRILIONI?"
Halafu kaka naona kale ka"Mjengwa syndrome" na we kamekuanza.
Tehe! Teh! tee!
Michuzi, naamini wewe unakuwa na holiday ya kazi nyingine na sio kupiga picha.Suala la kupiga picha lipo ndani ya damu yako..siamini kama unaweza kupitisha siku bila kushika kamera.
ReplyDeleteWe perez acha wivu, yani unakijiba cha roho vibaya sana. Dah! sijui umetoka sayari gani kiumbe wewe. Nakuuliza tena umetoka sayari gani? Umemsema Mjengwa na sasa umehamia kwa michuzi.Kweli wewe nni mnok- mnok!
ReplyDeletePerez huna lolote wivu tu unakusumbua.
ReplyDeletehii sasa kali ya mwaka,waandaaji wa mkutano wanasema ni 'emergency'meeting yaani dharura,sasa kwenye ajenda mbona haku cha dharura?kutafuta wanachama wapya,kuangalia maendeleo,katiba etc kipi cha dharura hapo? au?
ReplyDeletehapo kweye hiyo hotel nadhani ni 888 the cheapest hotel
ReplyDeleteTehe! Teh! Tee! Kwako Anony wa August 3, 2007 time 2:00 pm.
ReplyDeleteMie Perez nimetokea sayari ya JUPITER, kabila langu ni MGAGAGIGIKOKO, na kiongozi wetu anaitwa Mfalme HUHIHUHI!
Teh! tee! teee!
michuzi nimekukubali kwa kuficha maoni yangu kuhusu vyoo vya club afrique, london. haiwezekani maoni mengine yakufikie na mengine yaishie kinyemela.
ReplyDeleteKweli michuzi usafiri na KQ halafu ukakae huko?, nadhani hata hao mashemeji watakuona umelost, au kama wao ndio wamerecommend hiyo hotel, basi wamelost tu huko. Hotel za Kariakoo na Magomeni ni bora kuliko hiyo uliyokaa wewe. Next time kaa walao Hotel africana, owners ni wenye BMK, watakupa discount walao ulipie dola 50 bed and breakfast
ReplyDelete