Home
Unlabelled
kituo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa michu, jee na matatu ninini?
ReplyDeleteAnon wa 8:30 PM Matatu ni daladala KENYA, Narudia tena KENYA Michuzi yupo KAMPALA, Narudia tena KAMPALA, KAMPALA ipo UGANDA narudia tena UGANDA
ReplyDeleteNaona hutosahau JIOGRAFIA ya Africa MAshariki tena, maana hii ni darasa la nne.
Hiyo kweli ni bonge a rivasi, kwa hio ukila teksi unasema special. Du inabidi mtu akikwambia inabidi uliize ni taksi ya namna gani special au ya kawaida.
ReplyDeleteHawa kweli wamechanganyikiwa na lugha!! Ubishi tu wa kutotaka kujifunza au kuongea kiswahili... wewe waache na kiganda chao, sisi tunapeta tu na lugha yetu yenye ladha tele, lugha za bibi zetu pia tunaongea, wao je?!
ReplyDeleteSteveD.
bro mich!!! unanikumbusha mbali saana nikiona mji huu?kwani nakumbuka enzi zile watoto wa rock city tunafata raba(viatu) pale nakivubo(kampala)na hicho kituo chao cha taxi ni vurugu mtindo mmoja,africa yote inafanana tu???
ReplyDelete(dirty cash-SEOUL)