kituo kikuu cha teksi cha kampala. hapa daladala huitwa teksi na teksi huitwa spesho...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. sasa michu, jee na matatu ninini?

    ReplyDelete
  2. Anon wa 8:30 PM Matatu ni daladala KENYA, Narudia tena KENYA Michuzi yupo KAMPALA, Narudia tena KAMPALA, KAMPALA ipo UGANDA narudia tena UGANDA

    Naona hutosahau JIOGRAFIA ya Africa MAshariki tena, maana hii ni darasa la nne.

    ReplyDelete
  3. Hiyo kweli ni bonge a rivasi, kwa hio ukila teksi unasema special. Du inabidi mtu akikwambia inabidi uliize ni taksi ya namna gani special au ya kawaida.

    ReplyDelete
  4. Hawa kweli wamechanganyikiwa na lugha!! Ubishi tu wa kutotaka kujifunza au kuongea kiswahili... wewe waache na kiganda chao, sisi tunapeta tu na lugha yetu yenye ladha tele, lugha za bibi zetu pia tunaongea, wao je?!

    SteveD.

    ReplyDelete
  5. bro mich!!! unanikumbusha mbali saana nikiona mji huu?kwani nakumbuka enzi zile watoto wa rock city tunafata raba(viatu) pale nakivubo(kampala)na hicho kituo chao cha taxi ni vurugu mtindo mmoja,africa yote inafanana tu???
    (dirty cash-SEOUL)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...