leo nimegongana na mwandishi mashuhuru wa makala na mwendesha kipindi cha tv cha 'je, tutafika?' mzee makwaia wa kuhenga ambaye kaweka wazi kwamba ana hamu sana ya kuanza kublog. hivyo kaeni mkao wa kusoma makala zake za uchambuzi hivi karibuni..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kwa kweli huyu mzee ninamkubali. Sasa muambie kabla ya kuanza kublogu walau aweke email address yake baada ya makala zake za daily news!!!!!!! Nasisitiza sana. TAFADHALI. Anaweka namba za simu YA NINI???? Hatupendi kutuma email zetu kupitia kwa mhariri pleaaaaase!!! Thanks

    ReplyDelete
  2. mchuzi unaonekana kibabu kwenye hii picha,wewe na makwaia dizaini ngoma droo!

    ReplyDelete
  3. Leo kaka yangu umependeza. Uko simple casual babu kubwa...I like that

    ReplyDelete
  4. mzee makwaiya naskia umechimbwa mkwala na wakubwa eti kipindi chako cha jee tutafika na Kabwe zitto kisiwe live bali recorded ili wafanye editing na ndiyo maana profesor Shivji hakutokea jee ni kweli?kama ni kweli maadili yako ya kazi yanasemaje?
    ZIONIST

    ReplyDelete
  5. HONGERA SANA MAKWAHIYA WA KUHENGA.CHONDE CHONDE MZEE WETU USIJE KUKUBALIWA KUNUNULIWA NA HAO WASIOPENDA KUONA SAUTI ZA WANYONGE TUNASIKIKA.MMEBAKI WAZEE WACHACHE WENYE MISIMAMO HASA KATI HII TAALUMA YA HABARI.KAZA BUTI TUPO PAMOJA.Naku hakikishia tutafikia tu hata kama tutakuwa maiti

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...