Home
Unlabelled
uswisi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nawaona waheshimiwa saaanaaa wa ubalozi wa tz geneva!!hahaaa
ReplyDeleteNawaona wazee wa tanzanite Geneva,keep it up guys.
ReplyDeletemdau wa London.
Nawaona wazee wa Geneva Deus na mdau wa tanzanite club,keepit up guys.mdau london.
ReplyDeleteMambo hayo, Naona Tanzania tupo juuu, nawaona wenyeviti wa Tanzanite, na mkubwa wa Tanzanite, sasa hiyo siku Tanzanite ilifungwa nini, mwaana wanyeviti wote mpo kwenye viti, lakini nawaamini wanangu, deus vipi umenuna kidogo, vipi balozi nakuona umetulia sana, hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa, keep it up guys, hiyo ndio kazi yenu wadau....
ReplyDeleteJamani Taifa star, sasa mbona mmneweka picha yenu wenyewe kwani nyie ndio wachezaji au, mbona hatuelewi kabisa.... hahahaaaa
ReplyDeletehawa ndio wafanyakazi wa ubalozi wa tanzania, angalia walivyovaa vizuri wamependeza sio mchezo. Sio ambokile hata soksi hana na chupi.y
ReplyDeleteHivi kuna ulazima wa timu ya taifa kwenda nje ya nchi kufanya mazoezi?
ReplyDeleteIkiwa hali ni hii basi tumekwisha. Hii pesa nani analipa? Bila shaka mlala hoi. Hivi hatuna sehemu nzuri na tulivu za wachezaji wetu kufanyia mazoezi? Arusha au Kilimanjaro panafaa. Hii pesa mnayotumia ingeweza kuboresha huduma nyingine za jamii. MSISAHAU KUWA TANZANIA NI NCHI MASIKINI SANA. Tumieni kwa uangalifu na uadilifu.
Daaaah, mnanikumbusha Tanzanite kwa saaana. Nawaona Tanzanian Mission hapo na Bwana Tanzanite mwenyewe. David uko wapiiiii, si ulikuwepo katika hii mechi weyeee?
ReplyDelete