mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa fc kilimanjaro ambaye ni katibu mkuu wa wizara ya habari, utamaduni na michezo wa zenj dk. omar shajak akiwa na kaimu msaidizi wa balozi nchi za skandinavia mh. jacob msekwa kwenye uzinduzi uliofana wa klabu hiyo inayounganisha wabongo wote waishio maeneo hayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. asante Michuzi duh!Msekwa kawa ''mheshimiwa'' siku hizi!!''Hongera''!!!

    ReplyDelete
  2. MHESHIMIWA ni kiongozi ambaye anajiheshimu na kutekeleza wajibu wake kutokana na madaraka aliyonayo.Ukweli tunajivunia Mr.Msekwa anafahamu wajibu wake.Kwani kipi kinamfanya asiheshimike..!!!

    ReplyDelete
  3. Hawa jamaa wote wamepinda ila mbaya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...